kimsingi madini ya shaba ni mazito mno tofauti na tunavyoyaona yakiwa kwenye slates Kuna mwaka Fulani gari ya shaba ilidondoka mlima mbalizi ilibidi wakodi winchi kuyainua vile visahani vya shaba...
anakupigia mtu simu au sms akijinadi kuwa ndiye mwalimu wa mwanao, anakupa taarifa kuwa mwanao ameugua shuleni ghafla, hivyo inahitajika pesa ya matibabu, utatuma pesa au utapiga simu kwa maelezo...
MKAZI wa kijiji cha Itumba, Ileje mkoani Songwe, Namanga Mwambene (70), ameuawa kikatili kwa kukatwa kichwa na watu wasiojulikana, huku wauaji wakiondoka nacho, hivyo kusababisha kuzikwa bila...
Habarini wana jamii. Hebu tusaidiane. Hili tatizo kwa watumishi wenzetu walioachishwa kazi kwa kutokua na vyeti vya form iv. Huu ni uonevu mkubwa kwani hawa watumishi hawakujiajiri wenyewe bali...
Kwa wale wote niliowakwaza na kuwauzi mi naona haina haja ya kuombana msamaha,
We kama unasubiri siku moja Zero IQ atakuja hapa na kusema jamani wana Jf wenzangu Am sorry kwa yale mabaya...
Habari Wandugu.
Vodacom wamepunguza vifurushi vyao siku 2 zilizopita na watu wamelalamika kuhusiana na hilo. Wakaona haitoshi wakapunguza kifurushi cha chuo pia.
Na kabla ya hapo walipunguza...
Jana nilikuwa kwa interview na Multnational Company moja hivi na mwisho wa interview nikaulizwa:
"UNGEPENDA ULIPWE MSHAHARA WA SHILINGI NGAPI?"
Nimependa kushare nawewe, Ungejibu je swali hilo?
Mara moja moja ninapotazama Bunge ninakuwa na wasiwasi kuwa kuna baadhi
ya majimbo wanaishi watu ambao kama sio wendawazimu basi wana uwezo mdogo
sana kiakili wa kupambanua mambo.
Almanusura...
WANAFUNZI 23 wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohane cha jijini Dodoma waliokuwa wakisoma masomo yashahada ya tauhidi (theolojia) katika Kampasi ya Msalato jijini Dodoma, wanahamishiwa katika Kampasi...
Ushirikina ni kufanya Ibada kwa asiyekuwa Allah, au kumchanganya Allah na kiumbe katika Ibada
ZINGATIO
Ibada ni nini?!
IBADA,ni jina lenye kukusanya,kila anachokipenda Allah na kukiridhia,katika...
Aisee vodacom tuheshimiane haiwezekani mnitumie msg za kujiunga na game lounge kwamba nimejiunga wakati sijafanya hivyo. Mbaya zaidi mnasema kujitoa tuma neno UNSUB kwenda no. 15362 na nikituma...
Wakati wa mfumo wa chama kimoja CCM ilikuwa ikimiliki mali karibia kila kona ya nchi hii, mpaka leo hii binafsi sijui vyanzo vya mapato ya upatikanaji wa mali hizo. Huwa najiuliza tu km vyanzo...
Wanajamvi...wengi mmewasikia Mashahidi wa Uganda jinsi walivyokubali kufa kutetea wanachoamini....hapa nimefupisha habari yao lakini kwa wale ambao hawakuwahi kufatilia watajifunza kitu...
Katika maonyesho ya teknolojia ya uchenjuaji madini yanayoendelea Geita binti mwanafunzi wa veta shinyanga amewashangaza watu katika umahiri wake wa kuchonga vito vya thamani.
Kivutio kikubwa ni...
Kwanza nianze kuwapongeza kwa wazo lenu nzuri la kujenga stendi mpya eneo la Makatanini nje kidogo ya mji wa Babati.
Wasiwasi wangu na wananchi walio wengi hususani wa mji wa Babati ni udogo wa...
Kuna maonyesho ya Teknolojia ya uchenjuaji madini yanaendelea mkoani Geita katika viwanja vya Kalangalala.
Kivutio kikubwa ni mhitimu kutoka chuo cha madini Dodoma aliyeunda chenjulio la dhahabu...
Tukio la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Hamis Issah.
Wakati maswali hayo...
Daaa nimekumbuka mbali Leo, nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kutengeneza sigara kwa kusokota majani makavu ya mpapai na karatasi ,apo najiona mwamba kinoma , baada ya miaka kama 15 mbele...
Mzee Mwinjuma Ali Nkonga ambaye ni miongoni mwa Watanganyika waliopigania Uhuru Wa nchi hii kabla ya Uhuru akiwa amesahauliwa na mwajiri wake ,ambapo anaishi kijiji cha Msente Handeni Tanga,ni...