Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shemeji yangu sasa kanogewa kwangu, amemaliza chuo 2020, bado anasema anasikilizia mchongo. Shemeji Anashindia TV, kupiga stori na mdada wa kazi na vijiweni Namuambia ajifunze ufundi anasema...
17 Reactions
101 Replies
2K Views
Katika mazingira ambayo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kutafuta ajira baada ya kuhitimu vyuo vikuu, mjadala kuhusu elimu ya ufundi na elimu ya juu ni muhimu. Lakini kilichofanywa na...
2 Reactions
6 Replies
263 Views
Changamoto za kimaisha, kama magonjwa, Migogoro, kupoteza kazi, biashara kuyumba, usidhani vinatakiwa kuwatokea watu flani pekee, au ukafurahia sababu huwapendi au una tofauti nao It can happen...
3 Reactions
2 Replies
66 Views
Naogopa hata kutype. Natetemeka. Nahuzunikia watoto na wajukuu zetu na wana wao pia.
2 Reactions
3 Replies
117 Views
Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya...
0 Reactions
1 Replies
106 Views
Sijui kwanini dini zinasifia upande mmoja na kupinga mwingine wakati ili ulimwengu uwe sawa lazima kuwe na mivutano ya vitu viwili vinavyopinga
1 Reactions
5 Replies
63 Views
Mitandaoni na hata mitaani pikipiki zilizotumika (used) za aina ya Boxer zinaongoza sana kuuzwa. Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza kwa nini Pikipiki za Boxer used zinauzwa kwa wingi? Sababu ni...
4 Reactions
19 Replies
629 Views
Leo tarehe 18 Mei ni Siku ya Kimataifa ya Jumba la Makumbusho. Mwaka 2026 ni mwaka maalum – unaoashiria miaka 70 tangu China na Afrika zianzishe uhusiano ya kidiplomasia, pia ni “Mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Hii ni mada nzito inayozungumziwa sana kwa sasa, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahubiri yanayoweka mkazo mkubwa kwenye miujiza kuliko mafundisho ya msingi ya imani au juhudi binafsi za...
4 Reactions
42 Replies
525 Views
Katika jamii yetu kuna tabia ya watu kujiona wakubwa kwa sababu wanashinda wale walio dhaifu kuliko wao. Msemo huu unatukumbusha kuwa ushindi wenye maana hupatikana unaposhindana na watu wenye...
4 Reactions
2 Replies
121 Views
  • Redirect
Na Mwandishi Wetu, Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Heche John, amewataka wananchi wa Mkoa wa Geita na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuwa mabalozi wa amani katika jamii zao huku...
0 Reactions
– Replies
– Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini. Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa...
17 Reactions
117 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…