Tutakiane Kheri Kwenye Mapito Yetu

Tutakiane Kheri Kwenye Mapito Yetu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
524
Reaction score
496
Changamoto za kimaisha, kama magonjwa, Migogoro, kupoteza kazi, biashara kuyumba, usidhani vinatakiwa kuwatokea watu flani pekee, au ukafurahia sababu huwapendi au una tofauti nao

It can happen to anyone, hata wewe

Tutakiane kheri kwenye mapito yetu.
 
Changamoto za kimaisha, kama magonjwa, Migogoro, kupoteza kazi, biashara kuyumba, usidhani vinatakiwa kuwatokea watu flani pekee, au ukafurahia sababu huwapendi au una tofauti nao.
It can happen to anyone, hata wewe.
Tutakiane kheri kwenye mapito yetu.
Pole sana.... lipi limekukuta ndugu
 
Back
Top Bottom