Masanja Maguzu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 547
- 396
Katika maonyesho ya nanenane Simiyu wajasiliamali waliwalalamikia NIDA kutokutoa vitambulisho vya taifa kunakowakwamisha wajasiliamali kusajili bidhaa na biashara zao waziri mkuu aliahidi kuitafutia ufumbuzi kero hiyo.
Katika maonyesho ya wachimbaji wadogo kelele hizo juu ya kubabaishwa na NIDA ziliibuka tena huku uongozi wa BRELA uliokuwepo uwanjani hapo ukiwasaka maofisa wa NIDA mkoani Geita waje kutoa ufafanuzi bila mafanikio.
Kitendo cha NIDA kupuuza maonyesho hayo yaliukera uongozi wa mkoa na wajasiliamali waliofika kwenye maonyesho.
Kufyekwa kwa boss wa NIDA kumeleta matumaini kwa wananchi kwani wanaamini mambo sasa yatabadilika