Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 5 walioteliwa na Wakuu wa Nchi zao kuziwakilisha nchi hizo hapa nchini. Nchi hizo ni Ubelgiji, Norway, Sweden, Palestina na Kuwait.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TRA KUANZA KUWAKATA KODI WASHINDI WA MICHEZO YA KWENYE 'CASINO' > Kila mtu atakayeshinda katika mchezo wa kubahatisha unaofanyika kwenye casino atapaswa kulipa kodi kabla ya kuendelea >...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Shule hii iko Kimara _Suka Dar Es Salaam,shule iko hovyo sana,hakuna utaratibu unaoeleweka.Ada zinapandishwa muda wowote wakijisikia,Wakifunga shule hawatoi report za matokeo ya mitihani na hata...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Ripoti ajali ya meli yatolewa Zanzibar 19 Januari 2012 17:58 Serikali ya Zanzibar leo imetoa ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islander hapo Septemba 10, 2011 eneo la Nungwi...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Kijiji cha Chekanao Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, hakina mpango Wa matumizi bora ya ardhi. Kutokuwa na mpango huo kumeibuka mgogoro mingi kijijini hapo ikiwemo ya wakulima na wafugaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Kimataifa ya Hazina, Patrick Cheche na walimu wenzake wanne wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuwapa maudhui ya mtihani wa taifa wa darasa la saba watahiniwa...
4 Reactions
130 Replies
26K Views
Kama kichwa kinavyo jieza hapo juu nakumbuka sikumoja niko mkoa fulani kwenye miangaiko nika kikutana na dem fulani nikaenda kuka gegeda dah nimepiga mzigo nikawa nimechoka nikachukuwa maji kama...
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Ukiangalia suala la udanganyifu wa mitihani ya drs la 7 kwa shule za umma serikali inaweza ikawa imechangia kwa kiasi kikubwa. Sababu kubwa ni posho za walimu wakuu laki 2 ambapo walimu wakuu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kupendekeza jambo moja ambalo sidhani kama linapewa kipaumbele sana kwenye jamii zetu. Sijui ni kwa sababu ya kupuuzia au kuona jambo hili ni dogo. Kufanya kazi za ndani ni ajira isiyo...
3 Reactions
6 Replies
986 Views
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu...
30 Reactions
138 Replies
19K Views
Hahahah nianze kwa kucheka Mara baada ya kuwa mkoan kwa mda mrefu kikaz, nilikuwa napata hasira sana nnapoingia mitandaoni, (social networks) hasa Instagram , kutaman sana maisha niliyoyaacha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mda huu wana jf wenzangu,naomba kujuzwa juu ya hii huduma ya M-pesa master card.Je inakubali kutoa pesa kwenye card na kuweka kwenye paypal kama card zingine za malipo? kwa wazoefu wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde - JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna wizi ulikithiri nchini kwa sasa ambao wengi hatujui nao ni biashara za uwekezaji wa mitandaoni ( online investment ) . Wengi wameshalizwa na kila kukicha bado watu wanalizwa , kampuni tofauti...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndio nawaambia wazee/ mzee baba msipende kuwadharau watoto na vijana kuwa hawana uwezo au kipaji Fulani. Hebu tuambiane waliowadharau akina almasi na kundi lake wako wapi wao sasa hivi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi wa shule ya kukuza vipaji ya Raregem Iwapo una wasiwasi kuhusu uwezo wa mtoto wako kusoma, na kuandika, na ni wasiwasi ambao umegusiwa na watu walio karibu na mtoto...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
- Najuaje kama mtu nliyemuazima gari alifanya kosa akaandikiwa halafu hajasema -Deni liaongezekaje -Je, anaweza kuandikiwa yeye (leseni) au gari? Msaada plz
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Wale mafundi wenzangu wa umeme Nilifanya hii kazi ya ufundi kwa miaka3 mfulululizo kabla cijaingia kwenye biashara ya samaki ambayo inalipa sana na wengi hawajui. Point ya msingi siku hizi kuna...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, kupunguza vituo vya ukaguzi wa magari visivyo na lazima ambavyo vimeonekana kutumiwa vibaya na...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Wakuu habari za jioni Napenda kuuliza hiv kwanini mabasi ya kubeba wanafunz shuleni Yote Huwa yana rangi ya Njano tena hii nmeona mpk nchi za wenzetu
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom