Faida za JF kwa Jamii

Faida za JF kwa Jamii

The Iron

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
1,397
Reaction score
1,474
Habari za muda huu ndugu wana JF
JF ambayo ni social network iliyo dumu kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Je katika kipindi hichi chote...mnaweza nisaidia kujua faida mbalimbali ambazo JF imetuletea ki-jamii kwa ujumla au hata kwa mtu binafsi
Kwa atekaye weza kuweka na vivid example...itakua vizuri zaidi

Natanguliza shukrani zangu kwa majibu yenu
 
Faida
1. kuhabarisha na kuelimisha,
2. kuburudisha, jf huburudisha
sana kiasi cha kukuondolea
msongo wa mawazo

wengine endeleeni
 
Ahsante mkuu..ila jukwaa la siasa linaongeza msongo wa mawazo
kupanga ni kuchagua, wanasiasa wanafurahia hizo fitina na matusi, lkn mwenzangu na mimi bora ulikwepe hilo jukwaa
 
kupanga ni kuchagua, wanasiasa wanafurahia hizo fitina na matusi, lkn mwenzangu na mimi bora ulikwepe hilo jukwaa
Jukwaa limejaa vibaraka wanaotumwa na wanasaisa...kazi kujibizana tu kishabiki
 
Mfano jamaa mmoja kaandika blog zinaongoza kwa kuharibu kiswahili zinakosea sana spellings zikiona hivyo lazima zitajirekebisha huo mfano mdogo mmoja tu
Hapo sawa...shukrani
 
Nimesahau lingine
1.Kuchekesha
Nina hakika kuna wakubwa wa serikali humu ni ma member wakati mwingine hata wao wakisoma wanacheka
 
Back
Top Bottom