Wakuu mmeamka salama?
Labda tujuane wote tunakerwa na makelele ya wale jamaa wanahubiri/ au kuuza bidhaa zao kwenye basi pindi liko linasafiri.
Mtu unahitaji utulivu wa akili au unahitaji...
China Embassy ni ubalozi ambao ni namba moja kwa vitendo vya rushwa na ukiukwaji wa haki za wateja wao.
Ubalozii huu umejawa na watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa kiasi kwamba huwezi...
Mataifa zaidi ya 20 duniani, yameandaa Mkutano mkubwa wa kimataifa kwa ajili ya kumuombea Rais Dk. John Pombe Magufuli na Taifa kwa ujumla, utakaofanyika Oktoba 16-18, 2018 katika Ukumbi wa CCC...
Watu wamesumbuka kutoka mikoani na dar kupeleka taarifa za makato ya ving'qmuzi vya azam tv ili walipe japo mi niliwaambia huo ni uongo mwingine. Mpaka sasa hmana kitu na ukiuliza pale tcra...
Nilienda kupimwa malaria. Kumbe eti hawakupimi mpaka upimwe miwaya! Mngesema mapema nisingepoteza pesa yangu... Nimekacha vipimo... Ntakunywa tu dawa bila kupima.
Kupima ngoma ni kutafuta tu BP...
Mapema leo wilaya ya Pangani tumeupokea ugeni wa asasi ya vijana toka vyuo vikuu wakiwakilishwa na wenzao toka chuo cha UDSM na Ustawi wa Jamii wakiwa na malengo ya kuja kujifunza na zaidi kufanya...
Usiniulize, sikujui hunijui. Na kweli sifahamu Kabisa maana ya hii orodha
1 Mkombozi benki mabati na saruji mil 203
2 Rais Uhuru Kenyata mashuka na mablanketi mil 200
3 Serikali ya Korea Mil 108...
Napenda kuchukua fursa hii kuliomba bunge na wabunge wote kupitia upya sheria za TANROADS kwa maana sheria hizi ni Kali kupitiliza na zinawaumiza wananchi na zinajenga chuki kati ya wananchi na...
"Sasa wapigaji kura wajanja wa Tanzania wameanza tabia ya kudharau uchaguzi,” alisema Dk Bashiru mbele ya wakulima waliofurika kwenye ukumbi huo.
“(Wameanza tabia) Ya kukaa nyumbani kwa sababu...
Binafsi nimepitia mitihani mkubwa ya madeni, Ushauri wangu
1.Kubali maisha ni hatuna,jikubali jitambue ridhika na hatua yako tusipende hatuna ya kukua gafla bila mipango madhubuti
2. Mkopo usio...
Tukio la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Hamis Issah.
Wakati maswali hayo...
Naomba anaefahamu ni lini sasa ving'amuzi vya azam,zuku na DSTV vitarejesha channel za bure ukizingatia kwamba channel hizo zimeondolewa kabisa ambapo hata ukilipia kifurushi channel...
Ivi wamiliki wa hii redio free Africa ya mwanza hawalioni hili??? Redio imeishiwa pumzi....Yan mtangazaji mmoja anaingia saa 11 asubui anakipindi adi saa tatu asubuhi....huyohuyo anakipind Tena...
Haya maneno yalizungumzwa na Albert Einstein mwaka 1950 miaka mitano kabla ya kifo chake....katika nyakati hizi ndio yanatimia.....kweli genius ni genius tu.
Ndugu JF, leo nimefika tena mbele yenu nikiwa na habari mpya.
Kigoma Kibondo kata ya Kagezi, mwalimu wa shule ya msingi Mlange anatuhumiwa kuwa na kujihusisha na ununuaji bidhaa dukani kwa...
*UTEKELEZAJI*
"Sept. 17, 2018 nilifanya ziara Kata ya Mihambwe nikapokea kero ya Wananchi ya hitaji la kituo cha Polisi. Kuna jengo lililokuwa Kituo lakini halina milango, halina Polisi na...
Kesho utasikia "TANZANIA" yanyimwa mkopo wa UsD 30 Bilion na IMF kwa kukataa kuhalalisha Ushoga halafu Mazwazwa yatashangilia, Leo ukiwaulza UN takwimu sahihi ya watoto waliouawa Bila hatia na...
Ewe Mchungaji Masanja nimekuwa nikikuona Mara Nairobi,Dar,Dodoma, Mwanza,Arusha na mamiji kadhaa ya Marekani mwanawane! Ukiburudusha na na kumwaga Injili na mambo ya " Pepo pepo kemea pepo" lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.