School bus

School bus

B49

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
75
Reaction score
119
Wakuu habari za jioni
Napenda kuuliza hiv kwanini mabasi ya kubeba wanafunz shuleni Yote Huwa yana rangi ya Njano tena hii nmeona mpk nchi za wenzetu
 
Hahaha Kwel hayo Majibu kuntu
 
Wakuu habari za jioni
Napenda kuuliza hiv kwanini mabasi ya kubeba wanafunz shuleni Yote Huwa yana rangi ya Njano tena hii nmeona mpk nchi za wenzetu
Kwa sababu kuna sheria inasema hivo duniani kote
Hata sisi tuliiga huko
 
Nadhani ndo sheria na utaratibu wa magari yanayobeba wanafunzi, na ndiyo maana hata magari ya abiria yana rangi inayotambulisha hili gari linakwenda wapi
 
Unamaana unaweza kuhukumiwa usipofuata hyo Sheria?
Ndio kabisa.
Tena trafiki wanakamata gari
Wakati ninasoma o level gari letu la shule lilikua green uongozi wa shule ukapewa onyo ukabadili
Pia A level shule nyingine ikawa hivo hivo
 
Wanasema hii rangi walianza kuitumia watu wa Amerika ya kaskazini uko kama rangi maalumu kwa mabasi ya wanafunzi,inaaminika rangi ya njano inaongeza attention kwa watu mara waionapo tofauti na rangi nyingine ivyo ni rahisi kwa usalama.
Niliwahi kusikia lakini wataalamu wa mambo wakisema.
 
  • Thanks
Reactions: B49
Rangi ya njano inaonekana zaidi ata kukiwa na mwanga mdogo (asubuhi sana wanavowahi mashuleni)
20180928_190347.jpg
 
Back
Top Bottom