MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 284
- 388
Hahahah nianze kwa kucheka Mara baada ya kuwa mkoan kwa mda mrefu kikaz, nilikuwa napata hasira sana nnapoingia mitandaoni, (social networks) hasa Instagram , kutaman sana maisha niliyoyaacha kitaa (Dar) Mara baada ya kurud ndo nikagundua dar kwel ni pazur na kumeendelea lakn hakuna maana kama utakuwa unaish bila pesa mfukoni, maana hali za washkaj zangu, ndgu, jamaa na marafik ziko vibaya mnoo kiuchumi, kitu pekee cha thaman utakuta anamilik simu Kali tu na vinguo vya China.
Nimerud huku mkoan kutafta hela na akil nimeiaminisha dar n mji Wa kutumia tu.(bata)
Ww kijana mwenzngu using'anie kukaa dar wakat huna hata mchongo Wa kuingiza million 3 kwa mwez
Don't trust social media's life is real fake, stay real and hustlle.