TANZIA
Jana tarehe 04/10/2018, Rc Gambo amempoteza dada yake Bi Mwajuma Gambo katika hospitali ya Muhimbili, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
Salamu wakuu
Siku za hivi karibuni niliibiwa simu ikiwa na line za tigo na vodacom, basi nikaamua kutafuta njia ya kuzirudisha na hapo ndipo nilipokutana na kero kubwa hapa jijini ya kurenew line...
Leo kupitia ITV nimemsikia mkuu wa wilaya moja huko mkoani arusha akiwaasa vijana kuelekeza ujasiri wao kwenye kufanya kazi na sio kupambana na wanyama hasa simba ili waonekane wajasiri kwenye...
1: Wenyenyumba wastaafu au ambao hawaaendi popote muda wote wako nyumbani wanawafuatilia wapangaji utadhani mgamo wa jiji.
Hapa inabidi uwe na Moyo wa chuma, inginevyo utahama tu.
2: Wale ambao...
Mimi binafsi naona kama vile ukitaka kujiunga na NHIF kwa sisi ambao hatupo katika ajira rasimi ni kazi ngumu sana japo kuwa wengi wana uhitaji na NHIF
Niliwahi kufuatilia nikambiwa shs laki 9...
Naomba msitulie na kupoa kabisa, saidieni kupambana na matapeli wa aina hii.
Huyu ni mmoja wao, naomba ashughulikiwe ipasavyo.
Namba zake ni hizo zote amezianika........ Kuanzia hiyo ya Vodacom...
Kuna mtu jana usiku alitoka ofcn kwake saa nne akapita shell kuweka mafuta, akatokea mtu akampa kipeperushi jamaa akapokea na kutupia kwenye gari, lkn muuzaji wa mafuta akamuonya kwamba asipende...
Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,
Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ...
`
Habari ziwafikie popote mlipo........
Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu...
Kwamba waliyempost hapo kama marehemu Abdulwahid Sykes siyo yeye bali mwenye picha hiyo ni Marehemu Hamza Mwapachu baba yao akina Bakari Mwapachu aliyekuwa mbunge wa Tanga mjini na Juma Mwapachu...
Kwema humu?
Twende kwenye mada,
Daladala zinazotoka Posta kuja Mwananyamala hupita Barabara ya Mwinyjuma moja kwa moja vituo Vijana, Komakoma, Gereji, Mwananyamala "A", Shule, Kwa Manjunju, Ujiji...
Kuanzia sasa, wateja wa maziwa ya kopo watalazimika kuumia zaidi baada ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitisha kanuni zilizopaisha tozo ya kuingiza maziwa nchini kwa zaidi ya asilimia 1,200...
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili...
Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya...
Kuna hili jambo limenitokea mara kwa mara ingawa kuna wakati muda mrefu unapita kabla halijajirudia.
Mimi kazi yangu siyo mchekeshaji na sidhani kama nimejaaliwa kipaji kicho ingawa mara moja...
na haya ni maoni ya wadau,Je kun ukweli wowote? kwa maneno ya nasi inaonyesha historia ya mtu mweusi imefichwa.na kama ni kweli kwa nini sasa hivi sie ndio tuna iga mitaala yao ya elimu?
Viongozi wa Jumuia ya wanawake Tanzania UWT Mkoa na Wilaya za Mbulu, Hanang, Babati Vijijini wamehitimisha wiki ya UWT Taifa ambapo Kimkoa ilifanyika Mbulu.
Wametoa elimu ya Afya ya uzazi, mimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.