Ukweli mchungu: RFA imechoka sana, haina mvuto

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
Ivi wamiliki wa hii redio free Africa ya mwanza hawalioni hili??? Redio imeishiwa pumzi....Yan mtangazaji mmoja anaingia saa 11 asubui anakipindi adi saa tatu asubuhi....huyohuyo anakipind Tena saa nane ad saa 11 jioni ya. Redion wanasikika watangazaj wanne tuuu ....kueni wabunifu wapeni vijana ajira mbona wapo wengi tuu Apo SAUT wamegraduate .aibu hii mlianza vizur sana Kama mmeshindwa uzeni hisa tuuu....
 
Imechoka sana hiyo redio. Tanzania kungekuwa na utaratibu wa mercy killing, wangeifanyia iache kuteseka. Kuna kipindi unakuta leo ipo hewani kesho haipo.

Kiss nayo ipo hoi, starTV nayo choka maana nilikuwa naangalia app za Tv Tanzania. Azam na ITV ziko juu sana. StarTV wako level za TBC.
Huyo jamaa nashauri ahamishe makao ya media zake apeleke eneo la tukio, Dodoma, maana location nayo ni muhimu sana.
 
RFA ilianza kwa kishindo kikubwa sana hata mimi nilikuwa mpenzi mkubwa wa hiyo Radio lakini kwa sasa hata sijui kama bado ipo,kitambo saaana nimeachana nayo,uzwazwa mwingi sana
 
Imechoka sana hiyo redio. Tanzania kungekuwa na utaratibu wa mercy killing, wangeifanyia iache kuteseka. Kuna kipindi unakuta leo ipo hewani kesho haipo.

Kiss nayo ipo hoi, starTV nayo choka maana nilikuwa naangalia app za Tv Tanzania. Azam na ITV ziko juu sana. StarTV wako level za TBC.
Huyo jamaa nashauri ahamishe makao ya media zake apeleke eneo la tukio, Dodoma, maana location nayo ni muhimu sana.
Point yako haina mashiko dodoma na mwanza wapi ndio target ya maana kwa media? Jibu ni mwanza hata media za dsm zinaiangalia mwanza kwa jicho la tatu, kilichoifanya ile media ianze kuzorota ni UCCM mwingi watu wamechoka sasa hivi kwa TV wanaangalia wasafi na ITV kwa wingi kwa radio ni clouds, jembe ni jembe, Efm nukta zingine hazina waskilizaji wengi NB:ni kwa mwanza
 
Issue radio inakata leo ipo kesho haipo kipindi cha magazeti asubuhi sio reliable tena mara kikate dk 7 kirudi, nahisi ukata inachangia jawafanyi service mitambo yao labda. Inabidi watafute mbinu ya kutoka humu maana ni redio ina coverage kubwa nchi hii
 
Point yako haina mashiko dodoma na mwanza wapi ndio target ya maana kwa media? Jibu ni mwanza hata media za dsm zinaiangalia mwanza kwa jicho la tatu, kilichoifanya ile media ianze kuzorota ni UCCM mwingi watu wamechoka sasa hivi kwa TV wanaangalia wasafi na ITV kwa wingi kwa radio ni clouds, jembe ni jembe, Efm nukta zingine hazina waskilizaji wengi NB:ni kwa mwanza
Biashara ya redio ni matangazo.Kwasasa makampuni mengi yatahamishia makao Dodoma. Pia mambo mengi yatafanyika Dodoma ni rahisi kuyacover wakiwa huko.Kingine ni kuwa ni rahisi watu kuheshimu na kusikiliza radio inayotokea makao makuu. Ukiwa Dodoma ni rahisi kupata mahojiano na watu influencial kiurahisi. Siasa pia imechangia, ila akihama huko alikojichimbia anaweza kuinuka.
 
Imechoka sana hiyo redio. Tanzania kungekuwa na utaratibu wa mercy killing, wangeifanyia iache kuteseka. Kuna kipindi unakuta leo ipo hewani kesho haipo.

Kiss nayo ipo hoi, starTV nayo choka maana nilikuwa naangalia app za Tv Tanzania. Azam na ITV ziko juu sana. StarTV wako level za TBC.
Huyo jamaa nashauri ahamishe makao ya media zake apeleke eneo la tukio, Dodoma, maana location nayo ni muhimu sana.
Kwa location mzee hamna tatizo Mwanza ni mji mkubwa sana tu na unamatukio kibao nadhani waliowahi fika Mwanza na wakazunguka watakubaliana na mimi, tatizo la Sahara media nahisi lipo kwenye management yao na hili ni tatizo kubwa kwa mashirika binafsi ya humu nchini, yanapenda kujiendesha kiujanja ujanja na wanatoa maslahi kiduchu kwa waajiriwa huku wamilik wakijibaraguza kwamba wametoa ajira.
 
Biashara ya redio ni matangazo.Kwasasa makampuni mengi yatahamishia makao Dodoma. Pia mambo mengi yatafanyika Dodoma ni rahisi kuyacover wakiwa huko.Kingine ni kuwa ni rahisi watu kuheshimu na kusikiliza radio inayotokea makao makuu. Ukiwa Dodoma ni rahisi kupata mahojiano na watu influencial kiurahisi. Siasa pia imechangia, ila akihama huko alikojichimbia anaweza kuinuka.
sio kweli mkuu!!radio ngapi zipo dar na bado zimeshindwa kutoboa?radio free africa ndio ilikuwa radio pendwa sana kanda ya ziwa na ukanda wote wa maziwa makuu,tatizo kubwa ni uongozi kuingiza siasa moja kwa moja na ukata ,kwani kwnye kuhamia kwenye digital jamaa alikopa pesa nyingi sana na kuzirudisha imekuwa shida,mala kodi!!!hivyo kushindwa kuajiri watangazaji wenye ubunifu ndio kimeifikisha hapo ilipo!!hata ukiangalia startv nako ni hivyo hivyo tu,mfano kwa dar kuna chanel ten hata huwa siilewi kabisa ni ya miaka mingi sana lakini ubunifu daaa!!!
 
Jamaa kachoka toka amerudi kuendesha kampuni ndio imefia kwake,madeni hayalipiki mda si mrefu atarudi kwao shinyanga
 
sio kweli mkuu!!radio ngapi zipo dar na bado zimeshindwa kutoboa?radio free africa ndio ilikuwa radio pendwa sana kanda ya ziwa na ukanda wote wa maziwa makuu,tatizo kubwa ni uongozi kuingiza siasa moja kwa moja na ukata ,kwani kwnye kuhamia kwenye digital jamaa alikopa pesa nyingi sana na kuzirudisha imekuwa shida,mala kodi!!!hivyo kushindwa kuajiri watangazaji wenye ubunifu ndio kimeifikisha hapo ilipo!!hata ukiangalia startv nako ni hivyo hivyo tu,mfano kwa dar kuna chanel ten hata huwa siilewi kabisa ni ya miaka mingi sana lakini ubunifu daaa!!!
Mkuu radio free inasikika kila kona ya nchi tofauti na kina efm. Wanatakiwa kuwa na habari za kinchi. Siasa ni kweli imechangia kuiua lakini waangalie hilo suala la location mi naona kama linaimpact kubwa.
 
Back
Top Bottom