MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Kesho utasikia "TANZANIA" yanyimwa mkopo wa UsD 30 Bilion na IMF kwa kukataa kuhalalisha Ushoga halafu Mazwazwa yatashangilia, Leo ukiwaulza UN takwimu sahihi ya watoto waliouawa Bila hatia na mabomu ya marekani huko syria Afghanistan na Iraq watakwambia "Ni nchi zinazoongoza kwa Amani na Furaha"