Wale jamaa wanaoongea ongea kwenye basi pindi linasafiri, wanakera sana.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wakuu mmeamka salama?

Labda tujuane wote tunakerwa na makelele ya wale jamaa wanahubiri/ au kuuza bidhaa zao kwenye basi pindi liko linasafiri.

Mtu unahitaji utulivu wa akili au unahitaji utulie na kuomba kimya kimya basi liwafikishe salama anajitokeza mtu anaanza kuongea mwanzo mwisho wa safari.

Huwa wananikera sana hawa watu.

Kwa upande wenu vipi ?

Au serikali ilishatoa kibali cha kufanya mahubiri/soko kwenye basi.

Maana ninavyo amini wasafiri wote kwenye gari ni madereva ,sasa wasipokuwa macho au karibu na dereva mkuu ndio mtu unajikuta umekufa au hujui ajari imetokea kwa mazingira gani.
 
Mkuu wanatafuta kipato kwa kupitia abiria ndio maisha hayo wapende unaowaona na maombi yako yapate Baraka unawachukia watu wanaohangaika kutafuta chochote kwa kujifanya unakerwa...panda ndege au safiri na usafiri wako ila ukisimamisha gari watakukimbilia ili wakuuzie chochote...
 
Hawa watu wanazingua sana..Kwenye basi kila mtu na imani yake ila wanakomaa kuhubiri mwanzo mwisho..
 
Kwenye usafiri nani kakwambia ndio pa wao kujitafutia kipato, kwanza wanatoa concentration ya abiria kwenye safari yao.

Kama kuhubiri au kufanya biashara si kuna sehemu maalumu wafanyie huko
 
Hawa watu wanazingua sana..Kwenye basi kila mtu na imani yake ila wanakomaa kuhubiri mwanzo mwisho..
Wanahubiri wapi wazushi tu na shuhuda zao za uongo uongo mwisho wa siku wanalenga kwenye sadaka vibaka wakubwa.
 
Mimi nachukia pia ile umepanda usafiri wa umma halafu kuna kelele za redio wakati nahitaji utulivu ili niweze kusoma chochote. Hasa mida ya asubuhi. Unajua ule ni muda unahutaji kureflect kuhusu vitu utavyoenda kufanya siku nzima. Kwa hiyo utulivu ni muhimu,
 
Mimi hupenda kusafiri nikiwa na earphone ili nipate kusikiliza ninachokipenda ktk files zangu kuliko kusikia kelele za wachuuzi na mafakepastors.
 
Mimi hupenda kusafiri nikiwa na earphone ili nipate kusikiliza ninachokipenda ktk files zangu kuliko kusikia kelele za wachuuzi na mafakepastors.
 
Mkuu wanatafuta kipato kwa kupitia abiria ndio maisha hayo wapende unaowaona na maombi yako yapate Baraka unawachukia watu wanaohangaika kutafuta chochote kwa kujifanya unakerwa...panda ndege au safiri na usafiri wako ila ukisimamisha gari watakukimbilia ili wakuuzie chochote...
Kweli Mkuu,wapo kutafuta
 
ina maana hao watu wanaongea kutoka ubungo au kibaha mpaka moshi kilimanjaro tabora hawanyamazi wala kupumzika sio kweli unalako jambo wewe
 
Wanajitafutia riziki na huduma Muhimu kwa abiria. Mfano kupunguza msongo wa mawazo kwa abiria,Sio kero kwa wote. Kuna mtu atokako hakuambiwa safari njema!
 
Wanajitafutia,ila wanakera kwakweli,habari wanayotuambia tushaisikia mara milioni moja,undefinedbora hata wale wasukuma wanaotaniana ndani ya basi wanaleta burudani fulani
 
Ww mapepo yanakusumbua watu wanauza bizaa ni furusa unakeleka na watu wanahubir dak 15 ashaaliza Bar vip ? Kelele za kule hazikuboi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom