Alisema Albert Einstein mwaka 1950

Alisema Albert Einstein mwaka 1950

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Haya maneno yalizungumzwa na Albert Einstein mwaka 1950 miaka mitano kabla ya kifo chake....katika nyakati hizi ndio yanatimia.....kweli genius ni genius tu.
 
Haya maneno yalizungumzwa na Albert Einstein mwaka 1950 miaka mitano kabla ya kifo chake....katika nyakati hizi ndio yanatimia.....kweli genius ni genius tu.
attachment.php
 
Mkuu we acha tu, bongo tuendelee kushukuru for the moment hatujafika huko but we are heading there. Yani unakuta watoto wa high school wote wana smartphones, tabs, laptops etc. I am mentoring some of them for summer research yani ni balaa. Their lives revolves around those gadgets all the time. Simple multiplication mfano unauliza 15 X 3, unaona wote wanatoa phones to the calculator for such simple problems.
 
Aliona mbali yaani kama alikua anaishi 2018
 
Huyu jamaaa huwa namsikia sana lakini sjajua alikuwa mgunduzi wa kitu gani
Jamaa alikuwa ni kichwa sana alikuwa anaongea vitu kwa kufikiria bila kuvifanyia experiment na mwisho vinakuja kuwa proved kuwa kweli. He is the father of modern physics vitu kama relativity, E=MC kipeo cha 2 na mambo mengi sana.
Yeye ndiye aliye kuja na idea kwamba the universe must be expanding au contracting at a speed of light kutokana na formula yake aliona lazima kitu hicho kiwepo. Baadae akawa anapingana na mawazo yake ili formula yake kuondoa uwezekano huo akaongeza kitu kinaitwa cosmological constant kosa ambalo alifanya maana kumbe formular yake ilikuwa sawa the universe is expanding at the speed of light.
 
Huyu jamaaa huwa namsikia sana lakini sjajua alikuwa mgunduzi wa kitu gani
Huyu bwana, mwaka 1905 aliwahi kusema hivi; hakuna kitu kinachoweza kusafiri kwa kasi kuzidi mwanga, iwe ni hapa duniani au kwenye sayari nyingine yoyote ile. Kwa ujumla alisema kuwa kwenye UNIVERSE, kitu chenye kasi kuzidi mwanga hakipo, na mpaka leo wataalamu wanafanya kazi kwenye maabara zote duniani hajawahi kutokea mtu wa kuipinga theory yake. Huyu bwana pia ndiye alisababisha ugunduzi wa mabomu ya Nyukilia, kama yale yaliyopiga Nagasaki na Hiroshima kweye vita vya pili vya dunia.Alitoa pia theory ya photo-electric effect ambayo ilimfanya apewe Nobel Prize ya Phsics mwaka 1921, theory ambayo NADHANI ilimsababisha rafiki yake Niels Bohr wa Denmark, Copenhagen University, na yeye kupata Nobel Prize ya Physics mwaka ulioufuata wa 1922. Mwaka huu 2018, kuna watu watatu ( mmarekani, mfaransa na mcanada) nao pia wamepata Nobel Prize ya Physics kwenye mambo ya LASER teknolojia na NINA WASIWASII kama hawajatumia pia theory ya photo-electric effect ya Eistein, ila sina uhakiaka.
Kwa kifupi tu ni kwamba hawa watu wawili ni kati ya vichwa vichache vibaya vilivyowahi kuwepo duniani,..., I miss them anyway.

Check hapa:List of Nobel laureates in Physics - Wikipedia
 
Back
Top Bottom