Mnaofanya kazi ofisi za serikali mtakubaliana nami.
Watumishi wengi wa serikali wanalima, wanafuga, wana maduka, wana vigenge , wana makampuni , NGO na tender kadha kadhaa huku mtaani kwetu...
Wanadamu wanapenda sana kucheza na vipindi.
Watu hushiriki ibada za kumtumikia Mungu kwasababu tayari wako katika matatizo , wameepushwa kwenye matatizo au walishapitia kwenye matatizo.
Wachache...
Kwa kweli nimependa ku share kiss hiki na sikujua jukwaa la kukiweka.
Inamhusu kijana aitwae Joseph Gomes, ni kijana meenye asili ya Goa lakini wazazi wake walihamia Uingereza miaka mingi na yeye...
Habari zenu wanajamvi!!
Leo wakati narudi kutoka kwenye kutafuta riziki ya kila siku nimekutana na tukio la kushtua kidogo ambalo limenifanya nijae huzuni mpaka wakati huu.
Tukio hilo...
Ugumba wawatesa Watanzania wengi
Tuesday, 18 September 2012 12:54
Mwananchi
WASAKA WATOTO KENYA KWA SH5.4 MIL, HADI SASA WANAWAKE 60 WAMEHUDUMIWA DAKTARI WA...
Ndugu zangu katika pitapita yangu huku mitandaoni, nimekutana na hadithi hii kwenye page ya TV fulani ikionyesha wanaume wa kenya wakivaa nguo za kike kwa kisingizio cha kuunga mkono kutokomeza...
Kuna baadhi ya ajira hazitangazwi kabisa kwenye hii miradi ya reli inayoendelea hapa Tanzania. Ila ukifika pale utaambiwa watu wanachukuliwa kila siku na hapo kuna baadhi ya raia wanashinda...
Habari GT,
Mtandao wa kupatana.com, ni mtandao ambao watu hunadi na kuuza au kununua bidhaa kutoka kwa watu wengine.
Mtandao huo hauna sehemu ya 'product review' (kama si kweli naomba...
Wanajamvi naomba kuweka wazi wizi uliokithiri ndani ya stand ya Ubungo! Kuanzia alfajiri hadi saa 5 usiku wasafiri, wasindikizaji wanakumbana na vibaka wakiwa kwa makundi.
Wanaiba vioo, side...
Inaadhimishwa siku ya walimu duniani.. Ndugu Paul makonda amewakilishwa na katibu tawala kwa kuwa yeye alienda tandale kwenye birthday ya diamond.
Hapo juu kuna maswali mengi sana ya kujiuliza...
Kwanza niwapongeze sana madaktari wetu kwa ufanyajI wao wa kazi. Tanzania ni moja ya nchi ambayo madaktari wana status kubwa sana katika jamii japo hii imepungua kwa kipind hiki kutokana na wimbi...
JAMANI SISI WAUGUZI WAAJIRIWA WAPYA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA TUNAHITAJI MSAADA , TUNAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU TANGIA TUMEAJIRIWA TAREHE 18/7/2019 HATUJAPATA PESA...
Eneo hili lina mandhari murua,limepangiliwa vizuri,na lina majengo ya kisasa na marefu pamoja na upepo mwanana. Kwa mtazamo wangu hili ndilo eneo zuri zaidi (commercial area) kupita na kulitazama.
Ingekuwaje KIFO cha mwanadamu kisingekuwepo?:-...
Hivi tu KIFO kipo, siku ya mazishi imekuwa kama sherehe, maselfie na pretenses kibao...
Hivi tu KIFO kipo, lakini kuna wanaokodishwa kulia...
Habari wanabodi,
Nimefanya utafiti usio rasmi nikagundua watanzania wengi, wakiwemo na baadhi ya waafrika kutoka nchi zingine, wanazungumza taratibu sana.
Hata baadhi ya watendaji serikalini...
Ajali mbaya ya basi la hokkas bus linalofanya safari zake kwenda mwandoya toka meatu, ajali imetokea maeneo ya biore. Hakuna kifo kilichotokea sasa japo kuna majeruhi ambao wamewahishwa hospital...
Daktari feki anayefahamika kwa jina la Joseph Samwel (26), amekamatwa katika Hospitali ya Rufani ya Bugando mkoani Mwanza, baada ya kutafutwa takriban mwezi mmoja kutokana na malalamiko ya...
Wakati Serikali ikiwa katika mikakati ya kuongeza ajira, zaidi ya vijana 50 wilayani Kiteto mkoani Manyara wamepata ajira ya kilimo na ufugaji.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Kiteto Bw...