Tetesi: WANAUME WA KENYA KUAZIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUVAA NGUO ZA KIKE

Mkorintho wa 6

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
270
427
Ndugu zangu katika pitapita yangu huku mitandaoni, nimekutana na hadithi hii kwenye page ya TV fulani ikionyesha wanaume wa kenya wakivaa nguo za kike kwa kisingizio cha kuunga mkono kutokomeza saratani kwa wanawake.

Hali mnaionaje ni kweli ilikua lazima kufanya kitendo hicho au ndani yake kuna lengo la kuhamasisha ushoga? Aliyeratibu mpango huo sio wale wenye element za ushoga? Wenaume sikuizi wanapotoka sana; angalieni picha za tukio husika.


1538885083532.jpg
1538885091680.jpg
1538885098762.jpg
1538885106592.jpg
1538885113723.jpg
 
Mbona Kiongozi Hii Ilikuwa Dar es salaam
Hawa Wavulana Ni Tatizo Hapa Duniani
 
Mashoga tu hawa. Mwanaume ukajirembe kisa sherehe ya Wanawake. Mabwabwa tu, machoko tu yaani nna hasira nao balaa.
 
MKUU WANAUME WA KENYA HUWA SIWAELEWA KABISA.HAWA JAMAA WANAJIDAI WAZUNGU MNOOOO
Acha wavae tu ndo mana tukienda Kenya madada Zao na mademu zao wanatukimbilia sisi wakisema WE ARE REAL MEN
 
Kweli wanawake ni mapambo, tumeumbwa kwa namna ya kupendeza, miili iliyogawanyika kuongeza muonekano mzuri...sipati picha tungekua kama hao jamaa.
 
Tatizo lao wanajifanya wajuaji, mchezo huo umeshamiri sana Mombasa nadhani sasa wametanua biashara hadi wanafanya ujinga hadharani
MKUU WANAUME WA KENYA HUWA SIWAELEWA KABISA.HAWA JAMAA WANAJIDAI WAZUNGU MNOOOO
Acha wavae tu ndo mana tukienda Kenya madada Zao na mademu zao wanatukimbilia sisi wakisema WE ARE REAL MEN
 
Nafikiri hii ndio jinsi ya kwanza na ya aina yake ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani! Inafundisha nini kuelezea umuhimu wa siku yenyewe? Hakuna.
Kama ni mambo ya kansa (saratani) kuna nembo na rangi ya pinki hutumiwa, na wanaoadhimisha hutembea au kukimbia ikiwa ni njia kutunisha mifuko (fedha) zinazokwenda kwenye tafiti na maboresho ya matibabu ya hiyo saratani, sio ujinga huu!
 
Back
Top Bottom