Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Kwa kweli nimependa ku share kiss hiki na sikujua jukwaa la kukiweka.
Inamhusu kijana aitwae Joseph Gomes, ni kijana meenye asili ya Goa lakini wazazi wake walihamia Uingereza miaka mingi na yeye alizaliwa huko.
Wazazi walikazania sana elimu kwa watoto wao. Joseph alipata nafssi ya kusomea u dentist. Akiwa ametoka familia ya kawaida kwa miaka mitano ya shule hakumudu kutoka nje ya nchi. Kuanzia mwaka wa tatu aliweza kupata vibarua kama dental assistant kwenye surgery za watu binafsi lakini pesa zote zilihitajika katika maisha ya shule.
Alipomaliza shule na kuanza kazi aliamua kwenda holiday Morocco. Baada ya kuwasili kwenye hoteli yake mkasa ilianzishwa hapo.
Kumbe ma waiter na na mpagazi wa hoteli ile ndoto zao ni kuondoka kwa ghazals yeyote ile. Hasa kwa kuoa watalii wanawake kutoka Ulaya.
Baada ya Joseph kuingia chumbani kwake, aligongewa mlango. Alipofungua mpagazi aliingia ndani kwa kumsukuma Koseph mlangoni. Alimpiga na kitu kuzito kichwani na kupekua mizigo yake. Alipopata passport tu aikimbia na kuondoka.
Kesho yake wasafishaji wa chumba waliriport kuona mwili wa Joseph sakafuni. Habari zikiwafikia wazazi wake.
Yule mpagazi alikwenda kwa kinyozi na kunyoa nyewele style kama ya Joseph kwenye picha baada ya hapo aliondoka usiku ule ule. Wengi mnafahamu ukiwa Aiport kuna ticket za last minute cancellations.
Niliona kusa huko kwenye documentary. Kwa kweli wazazi na walimu wa Joseph walisikitika sana na Scotland Yard walikwenda Morocco na ukweli ulijulikana ila yule potte hajaonekana tena.
Visa kama hivi na vingine vilichangia kuundwa kwa biometric passports.