figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,185
- 64,574
Ajali mbaya ya basi la hokkas bus linalofanya safari zake kwenda mwandoya toka meatu, ajali imetokea maeneo ya biore. Hakuna kifo kilichotokea sasa japo kuna majeruhi ambao wamewahishwa hospital ya wilaya ya meatu