Kilio cha wauguzi wa afya wilayani Igunga Tabora

mwika

Member
Apr 5, 2012
47
27
JAMANI SISI WAUGUZI WAAJIRIWA WAPYA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA TUNAHITAJI MSAADA , TUNAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU TANGIA TUMEAJIRIWA TAREHE 18/7/2019 HATUJAPATA PESA YAKUJIKIMU WALA PESA YA UNIFORM ZA KAZINI MPAKA SASA,

WAKATI TUNAAJIRIWA TULIAMBIWA MFUMO WA FEDHA UMEFUNGWA LAKINI MPAKA SASA MFUMO UMESHAFUNGUKA CHAKUSHANGAZA PESA YAKUJIKIMU WAMEPEWA WATU WATANO TU SASA TUNASHINDWA KUELEWA KWANINI WALIPWE WATANO TU WENGINE TUSILIPWE HAKI YETU MFUMO TAYARI UMEFUNGUKA?KIBAYA ZAIDI TUKIENDA KUULIZIA TUNAONEKANA NI WASUMBUFU HATA KUTISHIWA KUHAMISHIWA ,

TUNAISHI KWA SHIDA TUMESHINDWA KUPATA HATA NYUMBA ZA KUISHI, TUNAOMBA VIONGOZI WA AFYA WAMULIKE SWALA HILI LINATUVUNJA MOYO, WAZIRI JAFO NA UMMY JAMANI TUSAIDIENI SISI WAUGUZI IGUNGA
 
Very sorry mtaalam!!!

Kusoma kwa Shida hadi kazini Shida tupu! But soon mambo yakua mazuri
 
Kuwa mpole wengine tulipoajiliwa tulikaa miezi 5 mpaka kulipwa
 
JAMANI SISI WAUGUZI WAAJIRIWA WAPYA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA TUNAHITAJI MSAADA , TUNAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU TANGIA TUMEAJIRIWA TAREHE 18/7/2019 HATUJAPATA PESA YAKUJIKIMU WALA PESA YA UNIFORM ZA KAZINI MPAKA SASA,

WAKATI TUNAAJIRIWA TULIAMBIWA MFUMO WA FEDHA UMEFUNGWA LAKINI MPAKA SASA MFUMO UMESHAFUNGUKA CHAKUSHANGAZA PESA YAKUJIKIMU WAMEPEWA WATU WATANO TU SASA TUNASHINDWA KUELEWA KWANINI WALIPWE WATANO TU WENGINE TUSILIPWE HAKI YETU MFUMO TAYARI UMEFUNGUKA?KIBAYA ZAIDI TUKIENDA KUULIZIA TUNAONEKANA NI WASUMBUFU HATA KUTISHIWA KUHAMISHIWA ,

TUNAISHI KWA SHIDA TUMESHINDWA KUPATA HATA NYUMBA ZA KUISHI, TUNAOMBA VIONGOZI WA AFYA WAMULIKE SWALA HILI LINATUVUNJA MOYO, WAZIRI JAFO NA UMMY JAMANI TUSAIDIENI SISI WAUGUZI IGUNGA
Muuguzi kuwa na subira, lkn unazijua ethics za kazi serikalini?? Hukupewa Induction ya namna ya kuwasilisha kero zako? Jiangalie sana mdogo wangu waweza sifiwa huku JF lkn ukaishia kukosa ugali hiv hivi. Be Calm
 
bila shaka humu kuna ofisi ya wizara ya afya au tamisemi.

Uvumilivu ndio kila kitu hapo.
 
Ajira za kutangazwa kwa press conference hizo. Jana nilimsikia waziri anatangaza tena ajira za kada ya afya kwa press conference kumbe wengine walioajiriwa wanalala na viatu hahaha

Poleni sana watumishi
 
Jamani si halmashauri ya wilaya ya igunga tu ,

Halmashaur ya wilaya ya serengeti pia haijawapa watumishi wapya hela yao ya kujikimu

Halmashaur ya wilaya ya bunda pia ndo zaid kuna uwozo hata mshahara wafanyakazi hawajapata hadi leo kutokana na uzembe wa viongozi wa halmashaur

Jamani viongozi liangalieni hili
 
Kuweni wavumilivu nadhani wahusika wanalifanyia kazi, maana si igunga tu,bali ni halimashauri nyingi tu, maadam upo kazini haulingani na aliyemtaani akisubiri ajira.
 
Back
Top Bottom