nusuhela JF-Expert Member Jan 26, 2014 5,733 6,970 Oct 7, 2018 #1 Nataka kuanzisha (WOCOBA) Workers Community Bank. Ni hatua zipi inatakiwa nifuate ili nisajiliwe na nifanye kazi kisheria?
Nataka kuanzisha (WOCOBA) Workers Community Bank. Ni hatua zipi inatakiwa nifuate ili nisajiliwe na nifanye kazi kisheria?
low thinking capacity JF-Expert Member Jun 4, 2018 1,321 1,486 Oct 7, 2018 #2 Wazo zuri saana tunasubiri wajuzi waje