Kuna nni nyuma ya vita?

Kuna nni nyuma ya vita?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,050
Reaction score
61,375
Najiuliza swali hivi mataifa yataficha aibu hii kivipi kwa vizazi vijavyo.aibu ya kuvitana Vita kuu mbili za dunia.kwa kweli ni history mbaya na chafu sana.hebu fikiria ungekuwa wewe unaishi miaka hiyo kipindi vha Vita ungekuwa kwenye hatari ya kufa .maana watu zaidi ya milion 80 waliuwawa kwenye vita.ni Jambo la kushangaza kusema kwamba kanisa katoliki lina nguvu wakati lilishindwa kukemea kwa nguvu katika ibada ili wazuie lile balaa.yaani haingii akilini wazungu ambao tunawaona Wana akili waliweza kuwa na tawala zilizokuwa kiasi kwamba wanahatarisha dunia nzima..hoja yangu ya msingi ni kuuliza kwanini kanisa katoliki ambalo Lina power katika dini wasingekemea kwa nguvu wanasiasa na hata ikibidi kuwatenga.kiukweli me nahisi Kuna kitu nyuma yake.na bado Hadi marekani anashambulia nchi ndogo kanisa halienezi harakati za kupinga kwa nguvu hata ikibidi kubadili mafundisho ili kujikita kwenye kuleta Aman ya kudumu duniani.me sioni Kama Papa Ana ushawishi na nguvu.basi labda pengine angeweza kutoa matamko ya kulaani mabaya yanayoendelea.lile ni kanisa au ofisi?
 
wao wenyewe wana gala la bunduki sasa wakeemeeje ni kama sasa hivi wana wanakaosas cha kufundisha vijana kuhusu uzinzi na ulawiti maana wao ndio wanafanya mbaya zaidi wanawafanyia watoto wadogo
 
Kuna uhusiano gani kati ya vita na kanisa katoliki mpaka ulisakame kiasi hicho?
Kwanini kanisa katoliki na sio waislam n.k?

* Una false beliefs
- delusion of persecution

*Una miss interpretation of objects
-Illusion

Hizi sio dalili nzuri kwa afya yako, pia inaonekana unajasira sana na wakatoliki. Tukikuuliza why utajibu hujui nina uhakika 100%

Ushauri wa bure jaribu kucheck afya ya akili yako hospitali
 
Mkuu katoliki ni taasisi kubwa dunian, ni dini yenye waumini wengi kuliko dini nyingine
Kwa iyo mtoa mada yupo sawa kabisa, mana kanisa lina jukumu la kuhakikisha amani ipo dunian
 
Mkuu katoliki ni taasisi kubwa dunian, ni dini yenye waumini wengi kuliko dini nyingine
Kwa iyo mtoa mada yupo sawa kabisa, mana kanisa lina jukumu la kuhakikisha amani ipo dunian
Eti mkuu emerald inawezekanaje Italy ikapigana Vita wakati huo Catholic Church lipo Vatican hukohuko ina maana walishindwa kutoa ujumbe kwa dunia nzima ili Vita ile isitishwe?
 
Mkuu katoliki ni taasisi kubwa dunian, ni dini yenye waumini wengi kuliko dini nyingine
Kwa iyo mtoa mada yupo sawa kabisa, mana kanisa lina jukumu la kuhakikisha amani ipo dunian
Katoliki ni dhehebu sio dini. Ukatoliki upo chini ya mwamvuli wa ukristo.
 
Kuna uhusiano gani kati ya vita na kanisa katoliki mpaka ulisakame kiasi hicho?
Kwanini kanisa katoliki na sio waislam n.k?

* Una false beliefs
- delusion of persecution

*Una miss interpretation of objects
-Illusion

Hizi sio dalili nzuri kwa afya yako, pia inaonekana unajasira sana na wakatoliki. Tukikuuliza why utajibu hujui nina uhakika 100%

Ushauri wa bure jaribu kucheck afya ya akili yako hospitali
MKUU unajua huyo aliyeandika N Nani?
I'd isikuzuzue
NAMJUA HUYO...upo wrong kwa jinsi ulivyomdadavua
 
Hao unaowasifia ndio wapanga vita wenyewe sasa wakemee tena wakati wananufaika na vita hivyo.....??
 
Hitler alikuwa mkatoliki? hata kama alikuwa mkatoliki unadhani angesikia hata papa angemuambia? Japan kuna wakatoliki?

Kuna mataifa mengine hayapendi kabisa vita, ila kunatokea wapuuzi wanaanza kuleta provocation utageuza shavu la upande wa pili au utajilinda na kulinda heshima yako?
 
Kweli sema tatizo ni kutojua siri ya ile vita.kwa maana wao ndo wachochezi wa hiyo vita ikiwa na maana Catholic asingeweza tawala dunia ikiwa falme nyingine zipo,so vita ikatengenezwa na Sera zikakaa sawa,wakatafuta kibarua wao* Marekani * kuratibu kazi zao mpaka leo ili siri isijulikane,ila mpaka Sasa malengo yanatimia soon utajua kuwa yeye ndo chanzo cha vita hiyo.sio rahisi kuelewa juu juu mpaka upate details ili uelewe siri iliyofichika
 
Back
Top Bottom