MAJIRANI MNAELEWA LAKINI HII MISAMIATI MPYA YA BONGO?

MAJIRANI MNAELEWA LAKINI HII MISAMIATI MPYA YA BONGO?

Jibala

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2010
Posts
641
Reaction score
613
Nimekaa najiuliza jirani zetu wanaoizunguka Tanzania, na wanao jaribu kuki download kiswahiIi.
Hii misemo ya kama fyekelea mbali na mingine, kwetu sisi sio mipya ila inapozuka na kuanza kutumika inatrend kama mipya, ebu majirani tuambieni nini kinachoendelea kewenye vichwa vyenu. Najua kuana watu laziam wajiulize baadhi ya maneneo kuona ni mapya.
 
Iyo ni misemo ya kimaisha maisha yanapo pamba moto na misemo lazima itatokea mingi
 
Nafikiri ni the way neno linavyokuwa addressed mf. Mia tisa itapendeza zaidi, hakuna kitu special isipokuwa namna alivyoiwasilisha mzee shika
 
Maisha ni motoooo kwaiyo lazima misemo kama iyo ni lazima mf pambana na Ali yako siyo sili akuna msemo ambao siupendi kama PAMBA NA ALI YAKO
 
vyuma vikikazaaa FYEKELEAA MBALIIIIIIII eboooo...fukunyukuuuuu
 
Back
Top Bottom