JF Android Mobile App - UPDATED

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Wakuu,

Wale mnaotumia App ya Android ningependa kuwafahamisha kuwa leo tumerekebisha kasoro nyingi zilizokuwa zimeripotiwa kwetu na hivyo app itawaarifu kuwa kuna maboresho na inahitaji kuwa UPDATED.

Tafadhali fanya UPDATE ili upate app mpya iliyofanyiwa maboresho. Ukisikia mtu anakwambia kuwa hawezi kusoma PM, mwambie aka-update app yake.

updated_android.jpg


Natanguliza shukrani kwa uelewa na uvumilivu wenu wakati changamoto kadhaa zikiwa hazijatatuliwa.

Aidha, niwashukuru kwa kuripoti kasoro hizo ili zifanyiwe kazi.

Niwatakie weekend njema.
 
Asanten

Hahaaa leo kila yule utaskia akisema "Jf wameshughulikia maoni/ombi/ushauri wangu" Hahaaaaa to much kiki in my country, yan hata jf ikipotea hewan yeye ndo wa kwanza kusema " jf wamefanyia kazi ombi langu"
 
Mkuu Maxence Melo tunaomba na malekebisho kwa Upande wa Browser, Thread ikiwa na Picha huwezi kuqoute wala ku'like' utaishia kureply tu.
Na huu ndio muonekano wake .
Screenshot_20180915-120610.jpg
 
Back
Top Bottom