Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 2,699
- 3,088
Kipindi azama mnazuiliwa kuonyesha taarifa ya habari katika channel ya azam two nilitaka sana kujua sababu
Maana local channel mliambiwa mziondoe kwa kuwa leseni zenu haziruhusu kuwaonyesha wateja wenu local channel kwa sababu king'amuzi chenu ni cha kulipia
Hivyo mwananchi Mwenye king'amuzi cha kulipia haruhusiwi kuona local channel ndio sheria ya nchi inavyo sema na hi sheria imetungwa na watu wenye PHD na waledi wa hali ya juu sana hivyo haiwezi kubadilishwa ma malalamiko ya wananchi walio amua kuwa na ving'amuzi vya kulipia hakuna mtu aliyeyasikiliza
Sasa pia nikataka kujua kwa nini azam two haionye taarifa ya habari nikasikia TCRA wanasema azam wakionyesha taarifa ya habari nchi inaweza ikalipuliwa na magaidi kwa kuwa mitambo yao ipo nje ya nchi
Japo sielewi maana taarifa ya habari azamu two sasa wanaonyesha katika app hivi hawa magaidi hawawezi kuiona wakatulipua?
azamu two sasa wanaonyesha habari za michezo kila siku saa 3 usiku wanaita mshike mshike sasa je hi haiwezi ikafanya tulipuliwe na magaidi? Ni hayo tu nayotaka kujua na umbumbu wangu