fh kwenye beat
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 494
- 613
Kwa ambao hatukuwahi kufika Kenya hii gari hapo BusCar inafanya safari za Nairobi - kampala na hapo pembeni ni mizigo inayosubili kuingizwa kwenye basi, toa maoni yako umelionaje basi hilo. [emoji16]