Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,191
- 4,192
Jamani mwenye ujuzi huu kama unawezekana nataka niifute account yangu ya fb ila nataka nibaki na messenger pamoja na page YANGU. Inawezekana? how?
Nitumie buku ten nikusaidie chap ndani ya dakika 2 kila kitu kinakuwa Ok.Jamani mwenye ujuzi huu kama unawezekana nataka niifute account yangu ya fb ila nataka nibaki na messenger pamoja na page YANGU. Inawezekana? how?
Acha uchoyo si uweke huo ujuzi hapa?Nitumie buku ten nikusaidie chap ndani ya dakika 2 kila kitu kinakuwa Ok.
Mjini cha bure ni shikamooo tu mkuuAcha uchoyo si uweke huo ujuzi hapa?