SUMATRA tunaomba mtatue kero hii

SUMATRA tunaomba mtatue kero hii

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,657
Reaction score
9,574
Kwanza nawapongeza sana sumatra kazi nzuri wanazozifanya ktk nchi yetu.
kuna kero mmoja imejitokeza kwa sasa ambayo inahusiana na ruti ya daladala itokayo ubungo kwenda kibamba ccm, kufuatia kuanzishwa kwa kituo kikubwa cha polisi cha wilaya ya ubungo kilichopo kiluvya gogoni tunaomba pawepo na ruti ya daladala zinazo fika hadi kiluvya gogoni kituo cha polisi sio kibamba ccm, sisi wananchi tunapata taabu sana pindi daladala zinapo ishia hapo.
 
Back
Top Bottom