Msaada wenu wakuu: Nahitaji laki 1

Msaada wenu wakuu: Nahitaji laki 1

Joined
Oct 4, 2018
Posts
13
Reaction score
12
Wakuu habari zenu,

Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi.

Wakuu nina shida sana, nimepatwa na matatizo, nina hitaji msaada wenu wa kifedha. Nina shida na shilingi laki moja.

Mimi ni mwanachuo, na kwa sasa imebaki takribani wiki mbili tu vyuo vyote nchini vifunguliwe. Niko tayari kufanya kazi yoyote halali angalau ndani ya wiki hii nipate hiyo fedha nitatue hili tatizo.

Wakuu, yeyote anayeweza kuniamini naomba anisaidie. Hata shilingi elfu moja nitashukuru sana!

Natanguliza shukrani na Mungu awabariki!
 
Una simu na bandle ya kushinda JF halafu huna shilingi elfu moja? KAAZI KWELIKWELI,

Any way, nenda wanakojenga upate kibarua mkuu, kwa siku hukosi elf 10 had 15.
 
Wakuu habari zenu,

Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi.

Wakuu nina shida sana, nimepatwa na matatizo, nina hitaji msaada wenu wa kifedha. Nina shida na shilingi laki moja.

Mimi ni mwanachuo, na kwa sasa imebaki takribani wiki mbili tu vyuo vyote nchini vifunguliwe. Niko tayari kufanya kazi yoyote halali angalau ndani ya wiki hii nipate hiyo fedha nitatue hili tatizo.

Wakuu, yeyote anayeweza kuniamini naomba anisaidie. Hata shilingi elfu moja nitashukuru sana!

Natanguliza shukrani na Mungu awabariki!
Nenda ukabeti
 
Tala na Branch wanatoa pesa za bure chukua then nenda ukabet utapa hiyo pesa ila kwenye mkeka wako usimpe Man U, Madrid na Barca
 
Pole mkuu hyo ni mitihati ya maisha.pia nasikitika kuona jf asaivi imekua tofauti Sana. Unapo itaji msaada wa aina yoyote ile inakua kinyume chake.watu wenye busara na hekima hawapo tena. Kimsingi nimeguswa na hoja yko.
Ushauli wangu.NI BORA KUMFATA MTU KUMUELEZA SHIDA YAKO KURIKO MITANDAONI.mitandao wengi wao hufanya sehemu ya kupotezea mda,na si sehumu kupeana mawazo.
 
Amini kwamba wapo wenye shida zaidi yako kijana ndani na nje ya JF, seriously laki moja na kuanzisha uzi kabisa JF, come on maaan.
 
Back
Top Bottom