Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,757
wakuu nina laini ya tigo haisomi mnara wa data nimeseti APN fresh lakini haionyeshi EDGE, 3G, H wala H+ nimejaribu kuweka kwenye simu nyingne[tecno na Samsung] bado imegoma na nimewapigia Tigo wananipiga chenga nyingi zisizo na msingi.
Nahitaji msaada wakuu.
Nahitaji msaada wakuu.