MREJESHO: Msaada wa bima ya afya

MREJESHO: Msaada wa bima ya afya

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,475
Reaction score
11,674
Hello wanajf.
katikati ya mwezi wa tisa nlikuja hapa kwa ajili kuomba msaada wa kufungua bima ya afya.na mwitikio ukawa mwema kuna waliohamasisha walionipa pole,ewaliotoa mawazo na walionichangia.
japo sikufanikiwa lengo na watu kuwa kimya..kuna mdau humu akanishauri nijiunge bima kwa hiyohiyo nlopata kwa kampuni tofauti.hatimaye nkafanikiwa kujiunga kampuni ya resolution

nashukuru kwa umoja wenu,upendo wenu hata leo hii nimefanikiwa kuwa na uhakika wa matibabu.JEHOVA atawazidishia.
 
Kwa leo ebu ngoja niwe msomaji zaidi hapa....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom