julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,408
- 4,701
Nchini Tanzania, kiwango cha unywaji wa maziwa kwa sasa kinakadiriwa kuwa kati ya lita 47 hadi lita 70.5 kwa mtu mmoja kwa mwaka, kulingana na takwimu za serikali na sekta binafsi.
Kiwango hiki bado kiko chini sana kikilinganishwa na mwongozo wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na FAO, linalopendekeza mtu kunywa angalau lita 200 za maziwa kwa mwaka (takribani mililita 500 au glasi mbili kwa siku) ili kupata virutubisho vya kutosha.
• Kiwango kwa Siku: Kwa wastani wa sasa wa kitaifa, Mtanzania anapata takribani mililita 130 hadi 190 tu kwa siku (chini ya glasi moja).
Yani siku nibsawa unakunywa kijiko kimoja.
MNGEKUWA MNATENGENEZA BOKS MIL 200 SIO FLAVOR.BALI fresh. Ni mzaz asielewa ndio utakuta anampa mtoto wake yale maziwa ya sukari vanila flavor strawberry. Tunataka fresh