Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Qwaray, amesema Serikali inatoa uhamisho wa watumishi pale inapokuwa imejiridhisha kuwa bajeti ya...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo. Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza...
2 Reactions
5 Replies
461 Views
Vuta picha mtu umepanga chumba,unalipa umeme,maji una mke na watoto tena wanasoma shule ya msingi au sec unawapa buku buku ya nauli kila siku ya shule na kazi yenyewe ni bodaboda ya bosi,saidia...
9 Reactions
21 Replies
223 Views
Kama huna chakula usilete njaa zaidi duniani
8 Reactions
26 Replies
151 Views
Kuanzia tu kwenye kusumbua watu na michango ya laki moja hadi kuanza kuishi kama mume na mke baada ya kuzoeana sasa kila mtu anaanza kuonesha rangi za kweli kuwa alikukubalia maana kwenu mna pesa...
1 Reactions
0 Replies
32 Views
Leo August 28 unafanyika mjadala wa Jukwaa la Demokrasia ambapo wadau mbalimbali watashiriki mjadala huo akiwe Anna Tibaijuka, Jaji Msatafu, Warioba, Jenerali Ulimwengu, Shekhe Ponda, Mwabukusi...
1 Reactions
2 Replies
67 Views
  • Redirect
Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM). Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu...
0 Reactions
Replies
Views
Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji. Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine? Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
2 Reactions
7 Replies
77 Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya...
4 Reactions
6 Replies
123 Views
Hapa JF kumekuwa na visa nyingi vya watu kuja na nyuz za kujikatia tamaa na wengi wao ni wanaume.hata hapa tanzania wanaume wanaongoza na viza vya kujiua. Kwa kwel maisha ya mwanaume ni mateso...
4 Reactions
12 Replies
153 Views
Mara kwa mara nimekutana na komment za watu mbalimbali wakidharau neno la Mungu kwa kigezo kwamba Mungu kama yupo kwanini hakujibu maombi yao? Watu hao wengi wao waliwai kuwa watoto wa Mungu na...
0 Reactions
0 Replies
9 Views
Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika. Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii...
19 Reactions
24 Replies
393 Views
Wakati tukiendelea kujipa moyo kua mbuzi katung'ata kwa bahati mbaya, mbuzi yeye anazidi kutuona sisi ni vibonde wake, sikuhizi anatung'ata halafu anacheka. Walinzi wa zizi la mbuzi nao badala...
3 Reactions
7 Replies
124 Views
KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili...
2 Reactions
0 Replies
29 Views
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya...
5 Reactions
15 Replies
220 Views
Mtaani kwetu miaka ya nyuma kuna jamaa alikuwa mgonjwa, akapelekwa hospitali na ndugu zake akalazwa, baada ya siku kadhaa akafariki dunia na madaktari wakathibitisha amefariki wakawajuza ndugu...
7 Reactions
47 Replies
575 Views
Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira...
13 Reactions
38 Replies
675 Views
Alfa Male ni nani? Ni Jambo la msingi na muhimu kujiuliza Alfa Male ni nani?. Mwanaume wa Kweli ni nani?? Katika ujuzi wangu wa masuala ya maadili na asili,naweza kumfananisha Alfa Male na...
0 Reactions
6 Replies
74 Views
Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametolea ufafanuzi malalamiko yanayohusu migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini, huku akisisitiza...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…