Kama inavyofahamika kumekuwa na hujuma katika shamba hili la mifugo. Wakati mkikokotoa upotevu wa fedha katika shamba hilo zingatieni yafuatayo:-
1. Ng'ombe waliokuwepo 2005 walikuwa kama 600.Baada ya miaka 13 wanakadiriwa wangekuwa sasa ng'ombe 3000. Kwa bei ya chini kila ng'ombe atauzwa kwa shs.200,000. Jumla Tshs.600,000,000.
2. Tunakadiria ng'ombe wapatao 500 wangekuwa wanakamuliwa kila ng'ombe atatoa lita 10 asubuhi na jioni. Hivyo ng'ombe 500 x 10 (Lita) kwa siku x 366 (Mwaka x 13(miaka) x 500(bei kwa lita) Jumla Tshs. 11,895,000,000(11.895bn).
3. Kwenye shamba kuna mlima ambao urefu wake kama kilomita 2.5 na urefu wa kwenda juu ni kama mita 500. Mlima huu ulijaa mawe na hujuma imefanyika kwa kuuza mawe yote ya mlima. Mawe haya ndo yamejenga mji wa Tarime. Inakadiriwa katika miaka 13 zimesombwa tripu 1,000,000 x 50,000(T.shs)= Tshs.50,000,000,000(50bn). Yote yameuzwa na kuweka fedha mfukoni.
4. Shamba hili lina ukubwa wa Ha.10000. palijaa miti ya kila aina. Hujuma iliyofanyika ni kuuza miti kwa wachoma mkaa na inakadiriwa kuwa zaidi ya magunia 2,000,000 yamevunwa. Hivyo 2,000,000 x 10,000(bei ya gunia)x 13 (miaka) = 20,000,000,000(20bn).
5. Moramu alikuwa anauza. Inakadiriwa kwa miaka 13 tripu za moramu zilizosombwa ni 1,000,000 x 40,000 = 40,000,000,000(40bn).
6.Alikuwa anawauzia majani ya kuezekea majumba yao ya kienyeji. Inakadiriwa mizigo 1,000,000 imeuzwa kwa muda wa miaka 13. Hivyo 1,000,000 x 500 = Tshs.500,000,000,
7. Kulikuwa na matrekata, zana za kilimo, mashine za kupoozea maziwa,boiler na mengineyo mengi. Inakadiriwa kuwa thamani ya vifaa hivi ni kama Tshs.4,000,000,000(4bn).
Wakati wa kukokotoa hujuma iliyofanyika kwenye shamba hilo basi melezo hapo juu yafanyiwe kazi hata ikiwezekana waje wazungumze na wananchi ili kupata ukweli.