Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipi ni bora kati ya akili kuwa mbele kwa sekunde dhidi ya kuongea au kuongea kwanza ndipo akili ifuate nyuma? Lakini waafrika asilimia kubwa wanaonekana ni wale watu wakuongea kwanza kisha akili...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Muda imefika wa Kuwa na Wizara ya Makazi ya Peke yake na Waziri ambaye akiamka na akilala yeye Kazi yake ni Kufikiri Namna ya Watanzania wanalala Kwenye nyumba Bora za gharama nafuu tena...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za majukumu wadau! Nimekuja hapa kutoa ombi kwa Trafick wanaoongoza magari hapa kwenye njia panda na mataa ya bank ya stanbic karibu na daraja la salender tafadhali tunaomba mtende haki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni na taarifa ikufikie ya kwamba lile Jengo refu lilipo Jijini Nairobi nchini Kenya la Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa KICC lilijengwa kwa mfano wa Uume /...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Wana JF, leo nimeona picha kwenye IPPMedia iliyoambatana na kichwa cha habari kuwa mainjinia wa JWTZ watasaidia katika ujenzi wa SGR. Lakini jambo lililonishangaza ni hiyo picha iliyowekwa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu nimetumiwa msg hii na nssf NDUGU MTEJA HABARI ZA LEO, KUTOKANA NA MABADILIKO YA SHERIA YA HIFADHI YA JAMII TANZANIA, KUWA NA MIFUKO MIWILI TUU YA JAMII, MADAI YOTE YALIYO FUNGULIWA KUANZIA...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada, mkoa wa Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo inajishughulisha na shughuli mbalimbali za viwanda, biashara na ufugaji. Shughuli zote hizi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana kamati za harusi,Dodoma mnatia aibu.Kwamba Ile siku ya harusi anayehudumia Chakula mnataka awaletee Chakula chenu Special wakati wa mchana,kwamba mnakagua Ukumbi kabla ya Sherehe.Mlivyo...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii style ya utendaji kazi ya RPC Mroto na Mkuu wa Tabora, Aggrey Mwanri inanipa mashaka kwamba ni game ya kutuamisha kwenye mambo ya msingi!! Hii style ni kama comedy. Kwanini mpaka media...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
ASKARI WA JWTZ ADAIWA KUJIUA KWA KUJIRUSHA BAHARINI AKISAFIRI NA BOTI Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), amefariki dunia baada ya kujirusha baharini akisafiri na boti ya Azam. Kifo...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani ma Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu...
14 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu kweli Mwanza tumeachwa mbali sana na dar kimaendele na ninazani tuko miaka 20 nyuma kimaendeleo kwa Dar eti leo hii Mwanza ndio ujenzi unaendelea wa kujenga ghorofa refu kuliko yote hapa...
2 Reactions
27 Replies
20K Views
Hata kama tunasema hali ni safii kwa kutumia njia tofauti lakini hali halisi inapingana na kauli zetu. Kwanini tunatumia nguvu nyingi kulaumu, kuzuia na kuchukulia hatua watu wanaokwenda kuuza...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kicha anza zako tu Kutiririka na Kuserereka kama Gari la Mashindano. Nawasilisha.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu wakuu. Naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu manunuzi kupitia JUMIA. Mimi nipo mkoani, kuna bidhaa kadhaa nimeziona Jumia na nimekuwa interested kuzinunua lakini nafsi inasita hasa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa niombeeni mwenzenu daah sina amani kabisa kwa mara ya pili kila nilalapo mchana naota ndoto za ajabu ,kuhusu kifo tu maana juzi nimeota etti nipo katika harakati za kutafuta shilingi ndo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni kawaida katika nchi zilizoendelea kama USA ana Uingereza kwa watu kupewa tuzo ya heshima ya taifa kwa vitendo vya ujasiri wanavyofanya. Kuhusu Bishompa Sendema ambaye alisimulia alivyookoa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
WIZARA ya Elimu nchini imeahidi kusambaza kompyuta mpakato kwa walimu 400 kila mwaka, kwa ajili ya kusaidia kupata uelewa wa masuala ya Teknolojia ya H abari na Mawasiliano (Tehama) na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalam tunaomba your experience on how to solve such situation.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa hakika kuna raha na karaha katika vituo hivi, kwani wapo waendeshaji wa vituo hivi wenye maslahi binafsi na wapo wanaotafuta radhi za Mola wao kwa shughuli hii. Kwa upande wangu nimepita...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom