Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la mwanadamu yeyote bila kujali kama hakwenda shule au alienda.
Cha kushangaza zaidi hata wenzetu wale waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni HKL kule sekondari wanatumia hii kanuni bila kujijua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chezea maths wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]