Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,906
- 7,119
Nadhani kuna kosa ambalo wengi tumekuwa tunafanya tunaposoma Biblia, hasa vitabu vya mwanzo vya Musa kuchukulia umri wa watu mbalimbali na kuulinganisha kama ni sawa na umri wa binadamu wa sasa. Kwa kiasi fulani tunaweza kuwa tunakosea.
Binadamu wa mwanzo waliishi miaka mingi kwa hiyo uzee wao haukuingia katika wakati unaofanana na sasa.
Mtu kama Adam aliyeishi kwa miaka 950 au Noah aliyeishi kwa miaka 850, je ni sahihi kusema walipokuwa na miaka 75 walikuwa wazee?
Naendelea kufanya utafiti, maombi na kutafakari na nategemea kuja na formula ya ku convert umri wa watu wa mwanzo wa Biblia kuja kwenye umri wa sasa wa binadamu. Kama sitapata formula at least kuja na uelewa zaidi ya jinsi hatua za umri wa watu wa mwanzo zilivyokuwa - utoto uliisha lini? Ujana ulianza na kuisha lini? Uzee ulianza lini? Na vitu kama hivyo.