Mchungaji/Nabii akinunua ndege au gari lake binafsi, Waumini hushangilia na kusema Mungu amejibu maombi

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Unasema Mungu kajibu maombi ya nabii kununua gari au ndege huku ukishangilia kwa vigeregere .

Ndugu zangu, kabla hujashangilia jambo kaa chini ujifikilie kwanza, kwamba mbona kabla ya kuwa nabii au mchungaji alikuwa hana gari au ndege leo katoa wapi hela?

Na wewe mabadiliko yako kiroho na kiuchumi yakoje , kiuchumi ni kwa wale wanaombea watu wawe na kipato bila ya kutoa njia ya kupata kipato hicho

Tofauti na hapo ujue umekamatwa na nabii feki mwenye kujijali
 
Ni ukweli mtupu mtoa mada.
Hao wezi ni wengi sana kwa sasa duniani.
Lkn waislamu mi nawakubali sana.
Hawana tamaa kabisa na huo uroho.
 
He he he he
Unawaongelea waislamu hawa hawa ambao ukitaka shehe akufungishe ndoa hata na mke wa mtu wewe unapeleka hata kilo 2 tu ya mchele na mkeka unavutwa dua inasomwa unapewa mke kiroho safi tu??

Tamaa na ujinga ni hulka ya mwanadamu, awe mwislamu au mkristo.
 
Hapo anakuwa hajui kama ni mke wa mtu mkuu.
 
He he he he
Unawaongelea waislamu hawa hawa ambao ukitaka shehe akufungishe ndoa hata na mke wa mtu wewe unapeleka hata kilo 2 tu ya mchele na mkeka unavutwa dua inasomwa unapewa mke kiroho safi tu??

Tamaa na ujinga ni hulka ya mwanadamu, awe mwislamu au mkristo.
Uislamu una talatibu zake kwenye mambo hayo ebu acha kashfa
 
Me ni mkrsito huwa nashindwa kuwaelewa Hawa wenzetu was makanisa ya kiroho yanayomilikiwa na watu.sio ibada zile ni shows.eti mwanza Kuna mtumishi anajiita baba god.nasikia watu wanampelekea mpaka mchele kanisani
Yeye anawapa chakula cha kiroho, yeye mnampa chakula cha kimwili kwa kifaransa tunaita kwidi prokuoo yaani nipe nikupe
 
Tunao upungufu wa mafundisho, hivyo akija mtu na tufundisho twake fake na uchawi kidogo tunarogeka kirahisi. Eti mtu anajipachika unabii. Nabii ni kazi ambayo manabii wa ukweli walikuwa wagumu kuikubali. Musa aligoma sana akisingizia kigugumizi .Akashinikizwa akaipokea na wengine hivyo hivyo. Siku hizi mtu anaibuka anadai yeye ni nabii na mtume.Utapeli kabisa
 
Unasema Mungu kajibu maombi ya nabii kununua gari au ndege huku ukishangilia kwa vigeregere .

Ndugu zangu, kabla hujashangilia jambo kaa chini ujifikilie kwanza, kwamba mbona kabla ya kuwa nabii au mchungaji alikuwa hana gari au ndege leo katoa wapi hela?

Na wewe mabadiliko yako kiroho na kiuchumi yakoje , kiuchumi ni kwa wale wanaombea watu wawe na kipato bila ya kutoa njia ya kupata kipato hicho

Tofauti na hapo ujue umekamatwa na nabii feki mwenye kujijali

Madness

Ni kama michango ya kitchen party, send off na harusi, very unproductive
 
Me ni mkrsito huwa nashindwa kuwaelewa Hawa wenzetu was makanisa ya kiroho yanayomilikiwa na watu.sio ibada zile ni shows.eti mwanza Kuna mtumishi anajiita baba god.nasikia watu wanampelekea mpaka mchele kanisani
Inasemekana huyo aliyekuwa anajiita baba God mfalme alishagakufa cku nyingi tu lakini baadhi ya viongozi waandamizi wa kanisa wanawaficha waumini wao huku wakiwaambia eti amepaa kwenda kwa MUNGU na atarudi ktk ufufuko wa Masihi ili aje kulinyakua kanisa lake
 
Kanisa Ni Moja Katoliki Na La Mitume.. Hayo Mnayoyaita Ya Kiroho Are Affiliated Saccos
That is how perceive things. Kanisa Katoliki ni kanisa la Roma na wala siyo kanisa la Kikristo . Ndiyo maana haliamini katika wokovu. Pole sana unayefikiri kuna kanisa la kweli ambalo ni affiliated na Roman Catholic Church.
 
Jamani Kutumika Uko, Mungu Anakuwa Amemtimizia Mchungaji Htaji Lake.

Kwa Upande Wangu Hakuna Tatizo Ata Akifanikiwa Kumiliki Kiwanda Cha Ndege No Problem, Sijui Kipo Lakn
 
Kanisa Ni Moja Katoliki Na La Mitume.. Hayo Mnayoyaita Ya Kiroho Are Affiliated Saccos
Sidhani kama unchosema ni sawa! Wengine tumekulia humo, tumetumikia humo kinachoendelea humo hukijui na hautakuja kukijua hata cku moja! Wee endelea tu kwenda kusali na kujipa moyo ww binafsi inakutosha ukianza kujudge hapa wakati katiba inatoa Uhuru wa kuabudu sio sawa itoshe tu kujua kuwa hiyo dini unayoiita katoliki ina wenyewe na wenyewe sio wewe wewe ni muumini tu au shabiki wa roman
 
Unasema Mungu kajibu maombi ya nabii kununua gari au ndege huku ukishangilia kwa vigeregere .

Ndugu zangu, kabla hujashangilia jambo kaa chini ujifikilie kwanza, kwamba mbona kabla ya kuwa nabii au mchungaji alikuwa hana gari au ndege leo katoa wapi hela?

Na wewe mabadiliko yako kiroho na kiuchumi yakoje , kiuchumi ni kwa wale wanaombea watu wawe na kipato bila ya kutoa njia ya kupata kipato hicho

Tofauti na hapo ujue umekamatwa na nabii feki mwenye kujijali
Wanaviingilio vyao, makanisa binafsi ni sehemu ya watu kuvuna pesa
FB_IMG_1539100842656.jpeg
 
Back
Top Bottom