Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wanajukwaa. sijui ni uelewa au ulimbukeni unaozidi kuenea kwa kasi kubwa sana katika jamii zetu. tumekua watu wa hovyo kiasi kwamba ohovyo wetu unatufanya kuiga kila tukionacho kwenye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hello JF, Sababu Ambulance and health services ziko mbali kidogo kipindi ajali inatokea, nafikiri tu employ measures ambazo zitatusaidia kutopata ajali kabisa, Tumeona jitihada za mkuu Lugola...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Cape Verde ni nchi ya visiwa iliyopo ktk bahari ya Atlantic, yenye ufanano sawa na Zanzibar. 2. Cape Verde ni muunganiko wa visiwa 10 vilivyotokana na mlipuko wa Volcano (Volcanic Islands)...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
NYERERE ALIJIUZULU MARA 3 KWA MASLAHI YA TANU NA TAIFA ZIMA. Katika kuadhimisha miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa nimeona niwashirikishe huu upekee wa NYERERE; Baada Ya Kuanzishwa Kwa TANU...
3 Reactions
1 Replies
970 Views
Wakuu naomba ushauri jinsi ya kukabiliana na wapangaji wabishi na wakorofi wasiyolipa kodi nimeshapeleka kwa mwenyekiti mara kibao naona kama akuna kitu zaidi ya usumbufu nimeshawapa notice lakini...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habar za leo ndugu wanajukwaa, Tafadhali naomba mnifahamishe ni bank gani inayotoa mikopo kwa watumishi wa umma kwa riba nafuu?
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Mzuqa Habari iliyohit headlines duniani wiki hii inayoisha ni mwandishi mahiri wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi kupotea na kuthibitika kuuawa leo. Uthibitisho huo kutoka Kwenye vyombo vya usalama...
20 Reactions
58 Replies
10K Views
Wadau hebu someni hii habari halafu tujadili kama hii ni nini zaidi ya siasa za mfamaji! Tatizo la ajira ni kigezo cha uzoefu au ukuaji wa polepole wa sekta ya umma na sekta binafsi? Mgombea wa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nilisafiri na Ethiopia, nilichojua ni kwamba shirika ni 100% linamilikiwa na serikali. Na hizi ndio rekodi zao. Je ATCL wajifunze nini hapo? Na kuhusu cargo angalia attachment ya pili. Bila...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sunzu popote usomapo hii habari naomba nione PM
0 Reactions
4 Replies
665 Views
Hellow wakuu, kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa, lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa...
4 Reactions
69 Replies
4K Views
Leo ibada ilikuwa kwajili ya kumuombea ndugu yetu Moo hadi arudi na amesema walio mchukua watamleta wawe wazungu ama waafrika
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio. Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote! Wadau mbalimbali...
3 Reactions
55 Replies
8K Views
Nimetapeliwa laki na themanini muuzaji wangu akapotea hewani moja kwa moja. Sijui nifanyeje hapa nilipo najipooza tu. Dah! nimeingia cha kike bila kujijua.. ======== Malalamiko mengine zaidi...
2 Reactions
247 Replies
30K Views
Habari ambazo zimenifikia mimi Hivi Punde kutoka kwa Mnyetishaji wangu ndani ya CHADEMA ni kwamba, Mh John Mnyika , Mbunge wa Kibamba ( CHADEMA ) ataongea na waandishi wa habari wakati wowote...
8 Reactions
109 Replies
14K Views
Habari ya jioni wana jf? Mm muda mfupi uliopita nimefanya muamala kutoka NMB kwenda m pesa kwenye simu yangu cha ajabu ni kwamba pesa imeshatoka NMB ila m pesa haijafika. Nimewapigia vodacom...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HABARI ZENU WAUNGWANA POLENI KWA MAJUKUMU. Nimeona mahali na kufuatilia matangazo ya mtumishi wa MUNGU HON:GEORDAVIE kuwa ataendesha mahubiri na maombezi ktk Ukumbi wa ROCK CITY MALL MWANZA TRH...
25 Reactions
599 Replies
78K Views
wadada nyie i kwamba itimie na ya kusukia nywele.na mibaba nayo inaitikia tuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ametoa muda wa miezi miwili na majuma mawili kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iwe imekamilisha mchakato wa Tanzania kuwa na vazi la Taifa. Amesema...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu habari Zenu ? Poleni na kazi ila Hongereni na Komaeni Maana ndo Wajibu Wenu Samahani naomba msaada wa Mawasiliano na Mahali walipo Agents wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya DHL, Kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…