Msaada wa Connection kwa DHL Tanzania, Au Ebay.

Ing'ang'a

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,866
Reaction score
1,284
Wakuu habari Zenu ?

Poleni na kazi ila Hongereni na Komaeni Maana ndo Wajibu Wenu

Samahani naomba msaada wa Mawasiliano na Mahali walipo Agents wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya DHL, Kwa Upande wa Dar es Salaam.

Pia naomba kujua na kupata Mawasiliano na Mahali walipo Agents wa kampuni eBay inayofanya Biashara kupitia mtandao (Online).
Sio Mbaya Kama ntajua Gharama za zinatozwa ikiwa umetumiwa parcels kutoka Nchi Kama China , US n.k

Mbali na hayo napenda kujua changamoto na Faida za kutumia na kupokea parcels Kama simu, iPad , na Computa Kupitia hizi kampuni Mashuhuri na Maarufu za Usafirishaji Bidhaa Bara mpaka Bara , Nchi Hadi Nchi.

Nashukru sana.

Muwe na Wakati Mwema.

Makanya Mtoto.
 
Mada nzuri ila nashangaa haikupata wachangiaji daah!!

Back
Top Bottom