Naombeni kujua hawa washindi wanaotangazwa tangazwa kupitia runinga hivi huwa hawa hofii maisha yao? .
Au kuna ulinzi binafsi mshindi huwa anapewa? wa kumlinda maisha yake yote.
Ni kwa nini...
Wimi iliyopita nlikuwa napita sehemu nikawaona vijana wao wanauza hivi ving'amuzi nikasema ngoja na mm nijilipue!
Aisee..nmejionea huruma sana kwa hela yangu niliyoipoteza kuwapa startimes kwa...
Mlundikano wa kutisha wa abiria Kimara mwisho unasababishwa na wahusika makusudi ili waweze kujipatia pesa zaidi.Ni jambo la ajabu sana kuwabeba abiria waliojazana Mbezi Luis ambao karibu wote...
Ukihudhuria makanisani, mashuleni siku za mahafari, sentensi mbili huwezi kuzikosa.
1: '' Mungu amesema mtakuwa kichwa na sio mikia''
Kauli hii ni kuwahamasisha wanafunzi wasiwe vilaza...
Lameck Airo ameagiza hivyo baada ya baba yake mdogo kutajwa katika mkutano wa hadhara kujihusisha na tuhuma za wizi wa mifugo
Wananchi wa kijiji cha Koryo katika Wilaya ya Rorya mkoani Mara...
Serengeti. Polisi wilayani Serengeti wamekiri kumuua kwa kumpiga risasi, Edward Mahende (73) mkazi wa kijiji cha Kenyana A wakati wakisaka mtuhumiwa wa wizi wa mifugo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa...
WARAKA MAALUMU KWA WAHANGA ELIMU YA JUU NA HESLB
1.Mh mkurugenzi Mkuu Bodi ya mikopo TZ, 25% tunayolipa baada ya kupata matatizo katika vyuo huwa ina maana gani? Kama ndio ruhusa ya kuomba upya...
Kiukweli sikuelewa kabisa kwanini mwanasiasa na mfanyabiashara Shabiby anatembea na walinzi lukuki. Pia nikashangaa viongozi wa dini Rwakatare na Gwajima wanakuwa na walinzi wa kutosha pale...
Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda ameamuru kukamatwa mara moja kwa viongozi waandamizi waandamizi wa Soko la Kariakoo ambao wamemaliza muda wao kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa fedha na matumizi...
Wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku.
Mimi kabila langu ni mzanaki kutoka mkoani Mara, sasa imefikia muda muafaka wa Mimi kuachana na kujitenga kabisa na kabila langu mama la kizanaki na...
Iv wanajf hatuwez kumtafta mo kwa kutumia natural TV ili tujue yupo wap maana bilion moja kwa maisha hata sio mchezo,wataramu wa mambo ya natural TV tunataka tuone mchango wenu .
Ulimwengu unaonyesha umekuwepo zaidi ya miaka 2000 na umekuwepo kabla ya kuanza kwa hizi dini za sasa za ukristo na clone yale ya uislam.
Huko nyuma na hata sasa jamii nyingi zilikua na namna...
Natambua kuwepo uhusiano wa kimichezo miongoni mwa watu hawa , wote ni viongozi wa Simba , lakini je upo uhusiano wa kibiashara baina yao ?
Natanguliza shukrani .
Bwana awee nanyiiiiiiiii
Awe piaaaaa naweeeee
Inueni mioyoooooo..
Mikoa zaidi ya sita nimeishi lakini sauti za mapadre wetu zina fanana je....na.muasisi wa hii sauti...na nini umuhimu wake?
Habari wana Jf
kiukweli mitandao ya kijamii imekuja kuaribu future na kupoteza ubora wa uhalisia wa maisha
Pili imetujenga wengine kujua kwa undani baadhi ya mambo
Mfano ukiiingia IG...
Za asubuh wakuu .....nataka kufanya biashara ya mafuta ya taa akipenda mwenyez mungu .....naomba kujuzwa wap nitapata leseni ya biashara hiyo .....TIN ninayo ambyo nlikuwa nafanyia biashara nyngne
Msako mkali kwa kutumia Boti unaelekezwa bahari ya Hindi kumsaka Mo Dewji.Je ni hivi hivi tu?
--
Kikosi cha Maji cha Jeshi la Polisi kimetanda ukanda wa Bahari ya Hindi tangu siku ya tukio la...
Toka wiki iliyopita mpaka sasa hakuna habari yeyote iliyotolewa na Polisi kuhusu kutekwa kwa MO. yupo wapi? watekaji ni nani? na Watekaji wanataka nini au kwa sababu gani?
Nimejifunza mambo mengi...
Serikali imelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweka bei elekezi kwa wakandarasi, wahandisi na mafundi waliowaidhinisha kuwatandazia nyaya wananchi walio vijijini ili kuepusha matapeli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.