Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Juliana Mataba, CEO of Good Food Afrique addressing a meeting while in the US recently. Dar es Salaam. As we mark this year’s World Food day with the slogan ‘Zero hunger’ which is goal number 2...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari rafiki. Kama mnavojua huku umasaini kuna ng'ombe wetu amepotea. Inasemekana alikuwa anafukuzwa na madubu wakali. Huyu ng'ombe ana sauti ya pekee, akilia "MOOOOO" kila mtu anafurai na sauti...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani hivi hizi ofisi za NIDA zinatuchosha unakaa foleni siku nzima sijui maeneo mengine ila TEMEKE hapafai. Kama ushawahi kupatwa nakadhia hii tiririka.....
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa kweli tangu ianze hii kauli "mbiu ya elimu bure" binafsi sijaona manufaa yoyote katika hili maana hali imekua mbaya sana hasa hasa vijijini. Tangu hii sera ianze kutekelezwa nchini kumekua na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanaume wa Dar kwa uvivu na ulegevu wao, wako usingizini wanakoroma wakati tayari 1 B iko hewani haina mwenyewe. Tatizo wanakula sana mahindi ya kuchoma kwa pilipili na malimao. Wanaume wa Kanda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kabla ya kufunga kamera mpya tujuzwe kuhusu kamera zilizofungwa miaka ya 2000, kamera hizo baadhi zipo maeneo ya Polisi Kati mpaka Mnazimmoja pia zilikuwepo Tazara. Tungepewa mrejesho wa hizo...
1 Reactions
1 Replies
818 Views
Wabongo siku hizi wanapenda vya mteremko, yani kila kitu mnataka mletewe hadi nyumbani, hadi nguo za ndani mnataka mletewe? Mtu unashindwa kwenda Kariakoo au Posta kununua vitu vyako? Ndo...
4 Reactions
64 Replies
13K Views
Kwa mara nyingine tena Wafanyakazi wa kampuni ya Sahara media group wamiliki wa startv,radio free Afrika na kiss Fm,wamekesha katika ofisi za mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ambaye ni mmiliki wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni picha ya barua iliyoanza kutembea kwa kasi sana. Wataalamu watuambie kama ni genuine au wahalifu wa mtandao washafanya Yao ili kuudanganya umma.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jana nilishirikina kumaliza RDM. Katika malengi yangu moja ni kushiri marathon angaau mara moja. Na jana nimetimiza kwa kushiriki na kumaliza nusu marathon ambayo ni km21.1. Niliamka saa kumi...
12 Reactions
158 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa CCM sema lolote basi juu ya kupotea kwa mwanachama wako!!! Raia namba moja angalau asema neno kwa kupotea kwa raia unayemuongoza!!! Mwenye uchungu na kugawa ajira na uwekezaji kama...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Serengeti. Siku moja baada ya Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Juma Ndani kukiri askari wake kumuua Edward Mahende (73) mkazi wa kijiji cha Kenyana wilayani hapa, ndugu wamegoma kuuchukua mwili...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Baada ya kufungiwa kwa local channel kingamuzi cha azam kimekosa mvuto kwa wale wapenzi wa vipindi vya nyumbani ikiwemo taarifa ya habari! Hata wale wapenz wa mpira wanakosa baadhi ya mambo kwa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Check out @FLOTUS’s Tweet: Hiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano...
11 Reactions
88 Replies
10K Views
Huu ni ujumbe mfupi nilioambiwa nishee na nyie. Bwana Mungu na roho yake amenituma, naye asema hivi, kimbieni kutoka kwa watesi wenu. Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya, yatamkeni...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwakweli tumeingia kipindi kugumu sana aisee yani miaka 3 mfululizo ni mwendo wa habari na matukio tata na hasi Watu wamefukuzwa kazi kionezi Watu hawalipwi madai yao Bodi ya (makopo) mwiba...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Thanks Jesus all is well
12 Reactions
370 Replies
33K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameagiza kukamatwa kwa waliokuwa viongozi wa Soko la Kimataifa la Kariakoo kwa kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3. Vigogo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana bodi ...... Sisi kama wana wa Adamu tulizaliwa na vivyo hivyo kuna siku tutakufa....sitagusia mambo ya pepo, sijui mbiguni kwa maana italeta mkanganyiko mkubwa na hapa kuna watu wenye imani...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Naombeni kujua hawa washindi wanaotangazwa tangazwa kupitia runinga hivi huwa hawa hofii maisha yao? . Au kuna ulinzi binafsi mshindi huwa anapewa? wa kumlinda maisha yake yote. Ni kwa nini...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom