Nilibahatika kuwaona Shabiby, Mchungaji Rwakatare na askofu Gwajima wanavyolindwa.......sikuelewa kwanini!!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Kiukweli sikuelewa kabisa kwanini mwanasiasa na mfanyabiashara Shabiby anatembea na walinzi lukuki. Pia nikashangaa viongozi wa dini Rwakatare na Gwajima wanakuwa na walinzi wa kutosha pale madhabahuni wakati wakiongoza ibada. Juzi ndio nimeshangaa zaidi kusikia bilionea mkubwa duniani alikuwa akitegemea ulinzi wa mola wake tu. Ngoja niishie hapo maana bado nashangaa!
 
SASA HIVI NAKATIZA MITAA YA TEMEKE MIKOROSHINI MAKSUDI TU. WASIPOTOKEA NTAENDA BUGURUNI, TANDIKA, KEKO, GOBA NA TANDALE.

MAOMBI YENU WAKUU WASIOJULIKANA WAJARIBU KUNITEKA NA NDIO ITAKUWA MWISHO WAO.

WE CANT LIVE IN A STATE OF INTIMIDITION, FEAR AND BLACKMAILING IN OUR OWN COUNTRY JUST BCOZ OF SOME FEW ELITE WHO HAPPENED TO GET INTO POWER BY CHANCE.

THIS NONSENSE MUST STOP.

WAJE SASA HIVI NIKO TEMEKE NATEMBEA BILA SILAHA
 
Kiukweli sikuelewa kabisa kwanini mwanasiasa na mfanyabiashara Shabiby anatembea na walinzi kama wote. Pia nikashangaa viongozi wa dini Rwakatare na Gwajima wanakuwa na walinzi wa kutosha pale madhabahuni wakati wakiongoza ibada. Juzi ndio nimeshangaa zaidi kusikia bilionea mkubwa duniani alikuwa akitegemea ulinzi wa mola wake tu. Ngoja niishie hapo maana bado nashangaa!
Wale wachungaji wanafanya kama wasaidizi, wengine prestige,mapambo na usalama.Wanajua kbs pale mbele kuna sadaka na huduma mbalmbali bila kuwa na waangalizi wengi anaweza akatokea kichaa mmoja akapita na kibubu kumbuka vibubu huwa vinakua vingi sana na lazima vitembezwe na wasaidizi, kuna kushikilia wanaoombewa wanapoanguka, kuwahudumia na ikumbukwe kuna wengine wanakua na mapepo yny nguvu sana
 
SASA HIVI NAKATIZA MITAA YA TEMEKE MIKOROSHINI MAKSUDI TU. WASIPOTOKEA NTAENDA BUGURUNI, TANDIKA, KEKO, GOBA NA TANDALE.

MAOMBI YENU WAKUU WASIOJULIKANA WAJARIBU KUNITEKA NA NDIO ITAKUWA MWISHO WAO.

WE CANT LIVE IN A STATE OF INTIMIDITION IN OUR OWN COUNTRY JUST BCOZ OF FEW ELITE WHO HAPPENS TO GET IN POWER BY CHANCE.

THIS NONSENSE MUST STOP.

WAJE SASA HIVI NIKO TEMEKE NATEMBEA BILA SILAHA
Wewe utakutana na vijana wa disbis tu, huna hadhi ya kutekwa bado hujafikia viwango hivyo.
 
Ukiona mtu ana ulinzi sana ujue amejijengea maadui kila kona.Bill gates alikuja tanga akala ubwabwa maharage shuleni na wanafunzi hakuwa na ulinzi wowote
Hata tajiri wa kwanza duniani sijui kama ana walinzi,Warren Bafet amekuwa akiishi maisha ya kikawaida kutumia baiskeli nk.Ila wakikuamulia hawakukosi hata uwe na ulinzi kijiji mifano ni mingi.
 
Kiukweli sikuelewa kabisa kwanini mwanasiasa na mfanyabiashara Shabiby anatembea na walinzi kama wote. Pia nikashangaa viongozi wa dini Rwakatare na Gwajima wanakuwa na walinzi wa kutosha pale madhabahuni wakati wakiongoza ibada. Juzi ndio nimeshangaa zaidi kusikia bilionea mkubwa duniani alikuwa akitegemea ulinzi wa mola wake tu. Ngoja niishie hapo maana bado nashangaa!
Mama Lwakatare kawaliza wafanyabiashara sana akikopa halipi kabisa
 
Kiukweli si vyema kutumia hili tukio la kutekwa kwa ndugu MO kama mwanya wa kumdharau na kuwadanganya watu kuwa MO kawarahisishia kazi watekaji
Nchi kama Tanzania haya maswala ya kuongozana na mabody guard Kiukweli si lifestyle yetu afu ukiendekeza issue za kuongozana kila mahali na hawa jamaa siri zako nyingi zinakuwa wazi hivyo unajiongezea matatizo mengine
Halafu watu wenye siraha wakikutaka hao warinzi wanaweza wakatawanyika kutafuta sehemu ya angalau kuficha vichwa vyao ukabaki wewe na kende zako
 
Sasa hawa ndio wakuwafanyia trailer ndio nipate sababu yakuwashikisha adabu watekaji. Black belt yangu lazima niitendee haki haiwezi kukaa tu kabatini kizembe.

Hawa wapuuz tukizidi kuwanyamazia ndio wanafanya wapendavyo
Bado hujakutana na scorpion mkuu kumbe unajifunia belt? Hiyo kama huna technic ukirusha mara1 ushaporwa halafu ona itakavyokugeuka mpk utajilaumu kuitumia
 
Kiukweli si vyema kutumia hili tukio la kutekwa kwa ndugu MO kama mwanya wa kumdharau na kuwadanganya watu kuwa MO kawarahisishia kazi watekaji
Nchi kama Tanzania haya maswala ya kuongozana na mabody guard Kiukweli si lifestyle yetu afu ukiendekeza issue za kuongozana kila mahali na hawa jamaa siri zako nyingi zinakuwa wazi hivyo unajiongezea matatizo mengine
Halafu watu wenye siraha wakikutaka hao warinzi wanaweza wakatawanyika kutafuta sehemu ya angalau kuficha vichwa vyao ukabaki wewe na kende zako
ila aya umeziachia sana ndugu
 
Back
Top Bottom