DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,829
Reaction score
38,912
Wimi iliyopita nlikuwa napita sehemu nikawaona vijana wao wanauza hivi ving'amuzi nikasema ngoja na mm nijilipue!

Aisee..nmejionea huruma sana kwa hela yangu niliyoipoteza kuwapa startimes kwa muda wa miaka 2! Hawa dstv hakuna wakumlingamisha nae kwa hapa bongo, yani unaona hela yako inaenda kihalali.

Sasa kila kona nikipita naona vijana wamemwagwa kama njugu wanauza visimbuzi vya dstv, watu wananunua kwa wingi kwelikweli.
 
Nasubiri kipindi cha kombe la dunia nione nani ataonesha mashindano haya kati ya azam na dstv,mwaka jana nilikuwa na mpango wa kufunga dstv nyumbani kwangu nikaona bora nisubiri kidogo
Startimes wataonyesha mkuu.
 
Unaongelea watanzania wa daraja gani hadi kuiona Tsh.69900 ndogo?
Kama ni sisi tunaotaka local channels za bure basi nao Dstv wajiandae kisaikolojia.
Kama umetumia mwaka wa saba sasa.kuwa mkweli kuhusu supersports ulikuwa uwezi kula zote kwa 69900.. bei ilikuwa ni 192000.imeshuka mwaka jana tu tena baada ya watu wengi kuanza kufunga canal sport.
 
Walikuuzia bei gani mkuu?em weka hapa japo kwa uchache vifurushi vyao gharama zake zikoje?
 
Back
Top Bottom