Zip/postal codes ya Dar es salaam

michepuko

JF-Expert Member
Apr 22, 2014
1,192
342
Wakuu naomba kufahamishwa zip/postal code za dar es salaam,nimekua nikikumbana na kipengele hiki hasa wakati wa kujaza fomu za kimataifa.
Ahsanteni.
 
Tanzania bado tunatumia sanduku la posta hivyo hatuna utaratibu huo. ....zipcode inatumika marekani na postcode inatumika ulaya na Canada
 
Hakuna zip code ya dar,,tunazip code ya Tanzania kama nchi. Hiyo hapo,,waambie na wenzio.
35091
 
Sio kweli mkuu! Zip code yetu ni 35091.

zip code inatumika marekani. ..mi nipo uingereza na natumia postcode, huu ni mfumo wa kidigital wa kutambua eneo husika, maeneo ya ulaya yamegawanywa kwa postcode hivyo inawarahisishia watu wa mail na courier kukuletea barua/kifurushi chako mpk mlangoni (kumbuka ulaya na marekani barua unaletewa nyumbani, na kila nyumba ina namba na pia kila mtaa una jina. ....ila mitaa na namba huwa zinajirudia lkn postcode ya eneo husika huwa haijirudii sehemu nyingine).....Tanzania hatuna mfumo huo na bado tunatumia p.o box
 
Wakuu naomba kufahamishwa zip/postal code za dar es salaam,nimekua nikikumbana na kipengele hiki hasa wakati wa kujaza fomu za kimataifa.
Ahsanteni.
http://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
 
  • Thanks
Reactions: ELX
mkuu mtimti, kuna wakati nilijaza form online na ilitakiwa niweke postal code ya dar es salaam, basi nikaweka box number yangu lakini mwishoni nilivyo-save na ku-runcontrolls ile form ilikataa ikionyesha sehemu ya postal code kuwa ni wrong!
 
Kwanini uweke box number wakati post codes zipo?
 
Back
Top Bottom