sheikspear
Senior Member
- Aug 31, 2018
- 144
- 58
Za asubuh wakuu .....nataka kufanya biashara ya mafuta ya taa akipenda mwenyez mungu .....naomba kujuzwa wap nitapata leseni ya biashara hiyo .....TIN ninayo ambyo nlikuwa nafanyia biashara nyngne
Leseni ya biashara nenda kwa afisa biashara ya eneo uliopo upo mkoa, jiji au Wilaya gani hii ndo ita determine kiasi cha kulipaZa asubuh wakuu .....nataka kufanya biashara ya mafuta ya taa akipenda mwenyez mungu .....naomba kujuzwa wap nitapata leseni ya biashara hiyo .....TIN ninayo ambyo nlikuwa nafanyia biashara nyngne
NashkuruLeseni ya biashara nenda kwa afisa biashara ya eneo uliopo upo mkoa, jiji au Wilaya gani hii ndo ita determine kiasi cha kulipa
Leseni inalipwa mara kwa mwaka wa fedha husika km sasa ivi tupo mwaka 2018/19 ikifika july tu naingia 2019/20 itabidii ulipie tena
Process zingine za kufata ni za EWURA utailekezwa uko
Sawa TIN namba iyo iyo moja unaweza kufanyia biashara hata zaidi ya 20 hauna haja ya kubadilisha zaidi kitaongezeka ni makadirio ya kodiNashkuru