TANZIA: Aliyewahi kuwa Diwani wa Magomeni na mmliki wa shule ya Green Acres, Julian Bujugo afariki dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Aliyewahi kuwa Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2018

Fuatilia uzi huu kwa taarifa zaidi...

=====
index.jpeg

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na mmiliki wa chuo cha Institute of Lands Dar es Salaam na shule za Green Acres mh. Julian Bujugo amefariki dunia saa saba usiku wa kuamkia leo Alhamisi 18 oktoba 2018 .


Msiba hupo yumbani kwake Jangwani Mbezi Beach karibu na Giraffe hotel Dar es salaam.


Bujugo aliwahi kuwa diwani kata ya Magomeni kwa tiketi ya CCM.
 
Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2018

Fuatilia uzi huu kwa taarifa zaidi...

Asante kwa taarifa ila nashindwa kujua nitoe pole yangu wapi?
 
Alikuwaga na guest yake moja pale Magomeni Makuti miaka hiyo ndo naruka ruka na ujana aisee nilikuwa mteja mtiifu mpaka nikawa nakopa kama mfukoni sina kitu.

Alale anapostahili.
Aisee umemkatia rufaa ili aende anapostahili huku ukisema alikuwa na gest ambayo ulikuwa unakopa kwenda kurukaruka
 
Laana tunazosema zitawafuata mpaka kizazi cha nne ndio hizi,hapo ni yeye bado vizazi vitatu.


Watachuma na kula watakula wengine
 
Nikiwa ndani la usafiri wa umma nimesikia tangazo redioni kuwa Julian Martin Bujugo diwani wa kata ya magomeni amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu Hospitali ya Masana Mbezi.

Mwenye taarifa za kina
atujuze tafadhali.
RIP Bujugo
 
Back
Top Bottom