Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawez kusema kila mtu amepangiwa muda wake wa kuishi hapa duniani. Kwa mfano wapo waliokufa muda mchache baada ya kuzaliwa, wapo waliokufa wakiwa vijana n.k Wapo waliokufa bila kuguswa na wengine...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
yafuatayo yatakuandama ATM na Benki utakuwa unaipita kwa jicho pembe Wanaokudai ndio wanajitokeza wakati huna chochote mwenye nyumba kodi yake nae inakaribia sana Mademu wakali na wa kawaida...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa katika msimu wa Novemba 2018 hadi Aprili 2019 katika kanda za magharibi, kati na nyanda za juu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tahadhari, picha ya kuogopesha chini. Emmett Louis Till alizaliwa Julai 25, 1941 huko Chicago nchini Marekani, akiwa mtoto wa mwanajeshi Louis Till aliyezaa na Mamie Elizabeth Till-Mobley...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kitonga Leo. Hawa wachina watatumaliza! ===== Basi la kampuni ya New Force lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam limetumbukia katika mteremko wa Mlima Kitonga mkoani Iringa. Kaimu...
4 Reactions
118 Replies
27K Views
Kwa niaba ya Baraza la vijana chadema (BAVICHA) wilaya ya Geita tunatoa pole wa walimu na wazazi wa shule ya Emaco Vision primary school iliyopo Geita kwa watoto wao kupigwa radi hapo Jana kwenye...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Niliwahi kuandikamada moja kwenye tanzania daima ameishindwa fat ataiweza drfa wapo walaiopiga vijembe lakini hiyo ilikuwa siku anachaguliwa kuongoza kamati za drfa mwezi mmoja uliopita nilihoji...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Watoto watatu wa familia moja juzi Jumatatu walipotea na leo wameonekana wakiwa wamefariki maeneo ya Tazara maghorofani au kwa jina maarufu Njalo. Kwa mujibu wa nilichosikia wamepatikana kwenye...
6 Reactions
98 Replies
17K Views
Kesi inayokabili Salvatory Minja, Mkazi wa Ngusero Jijini Arusha, baada ya shahidi Neema Lyimo ,kuangua kilio wakati akielezea jinsi mumewe (Minja), alivyomwingizia mkono wake mzima sehemu za siri...
9 Reactions
116 Replies
20K Views
Naombeni ushauri ndugu jamaa na marafiki kabla sijachukua maamuzi magumu. Nina mtoto wa miaka mitano wa kiume,msichana wa kazi au mdada anaye nisaidia kazi hapa nyumbani amekuwa akimfanyia mambo...
5 Reactions
93 Replies
8K Views
ASKOFU KAKOBE AWAONYA HAWA MITUME NA MANABII KUACHA KUJENGA KANISA KWA MSINGI WA MAOMBEZI ✍Mapema katika ibada ya Jumapili...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Daniel Colner (21) kwa tuhuma za kumbaka bibi wa miaka 85. Mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo hicho katika kata ya Kingachi wilaya ya Rombo...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Tanzania tumekuwa na wataalam wengi sana wa kienyeji waengine wa kutibu wengine wa kupiga ramri na kubaini chanzo cha tatizo la mgonjwa au mteja wake na wengine ni wale wa kutoa majini na mapepo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, naomba kuuliza kuhusu utaratibu naoweza kuutumia ili kupata Kitambulisho cha utaifa. Wakati mawakala wanapita kuandikisha katika mitaa yenu nilikuwa nchi jirani...
1 Reactions
1 Replies
760 Views
Mvua kubwa ilionyesha usiku wa kuamkia leo ikiambatana na upepo mkali,imesababisha madhara makubwa katika shule ya sekondari Bukoba na kufungwa kwa muda. Wanafunzi zaidi ya 800 kuhamishiwa shule...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu Naweza kusema Tigo wamezoea sasa, baada ya lile tangazo lao la jazwa ujazwe sasa wameibuka na tangazo lao kwa Tv ambalo ni mbaya zaidi afadhali ya lile la jaza ujazwe Tangazo hili jipya...
11 Reactions
54 Replies
50K Views
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa ameshiriki katika ibada ya mazishi ya kijana Joshua Mwakasege ambae ni mtoto wa mwalimu wa neno la Mungu Christopher...
5 Reactions
30 Replies
9K Views
Wahusika Wa hili tafadhalini sana mlifanyie kazi suala hili. Yaani dirisha za tellers zipo kumi ila zinazofanya kazi ni NNE tu. Huu ni uzembe uliopitiliza...au sababu ni ya serikali ndio muwe...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Binadamu tunaishi Maisha mafupi sana hapa duniani Watu ambao wana uhakika wa kuishi angalau siku 36,500 sawa na miaka 100 ni wachache sana Wanasiasa acheni kunyanyasa wananchi wenu...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
kwa wiki kadhaa naona magazeti yanaripoti madudu ya mkurugenzi wa UDSM- computing Centre Hivi ni kwa hawamu hii watendaji wa Serikali bado wanacheza na mali za uma Inasemekana mali ya mamilion ya...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Back
Top Bottom