Naomba kuelekezwa mamlaka ipo wapi?

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu,

Nimeitwa kwenye interview mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), itakayofanyika kwenye ofisi zao. Naombeni kuuliza, ofisi zao zipo wapi? kwa hapa Dar es salaam kwa anaejua. Naombeni msaada wenu jamani, mimi nipo mbagala.

Ahsanteni!
 
Ubungo external,mita kama 100 toka Mandela road,fuata njia ya kwenda Kisukuru,mkono wa kushoto ukitokea Buguruni/kulia ukitokea Riverside
 
Makao makuu yapo Mabibo external karibu Na Export trading zone authority, kwahiyo shuka kituo cha mabibo external muulize mtu yoyote atakuonyesha
 
Ashuke kwenye daladala Mabibo External achukue boda boda ni elfu moja tu wanamfikisha chap chap anashuka bila majasho anaingia interrview akiwa msafi
 
Acha uwongo wewe...! Kutoka kituo cha external hadi ilipo mamlaka yenyewe ni mwendo wa dakika tano kwa kutembea kwa miguu! Hapo bodaboda ya nini? Au wewe ni dereva bodaboda unatafuta ulaji?...
 
Barua haikueleza, hamna namba yao ya simu, barua pepe n.k.?
Habari zenu wakuu,

Nimeitwa kwenye interview mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), itakayofanyika kwenye ofisi zao. Naombeni kuuliza, ofisi zao zipo wapi? kwa hapa Dar es salaam kwa anaejua. Naombeni msaada wenu jamani, mimi nipo mbagala.

Ahsanteni!
 
Habari zenu wakuu,

Nimeitwa kwenye interview mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), itakayofanyika kwenye ofisi zao. Naombeni kuuliza, ofisi zao zipo wapi? kwa hapa Dar es salaam kwa anaejua. Naombeni msaada wenu jamani, mimi nipo mbagala.

Ahsanteni!
Hiyo barua ya kuitwa interview hawajakwambia inafanyika wapi ofisi zilipo?
 
Acha uwongo wewe...! Kutoka kituo cha external hadi ilipo mamlaka yenyewe ni mwendo wa dakika tano kwa kutembea kwa miguu! Hapo bodaboda ya nini? Au wewe ni dereva bodaboda unatafuta ulaji?...
Atachafuka viatu na vumbi kwa kutembea inabidi afike smart boda boda watasaidia hilo
 
Njia hiyo ina vumbi tokea lini? Halafu umejuaje mleta mada hana usafiri wake, humu jf kila mtu anausafiri wewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom