Geita: Radi imeleta maafa EMACO English Medium School

Geita: Radi imeleta maafa EMACO English Medium School

Poleni sana wafiwa wote.

Kuna Mwl aliwahi kuniambia maeneo yenye madini kijiografia yanakubwa sana na radi.
 
Dah radi mzisikie tu nimewahi shuhudia maafa ya radi kwa kweli hii kitu ni hatari sana Wana songea poleni sana mana tangu nizaliwe nimejua radi ni hatari nilipofika songea 2004 mwezi wa Pili nikiwa form one tunatoka bustani jamani hii siku siwezi isahau ilipiga radi mpaka kesho Huwa nikifikiria sipati kabisa majibu wanafunzi wengi walipoteza fahamu kijijini watu wakapoteza maisha ilikuwa ni taharuki kubwa mno
 
RIP watoto.....
Wapi wanauza "mitego ya radi" niweke stock ya kutosha maana fursa inakuja, utapitishwa msako wa shule binafsi zisizokuwa na hivyo vifaa kufungiwa
 
ila hiyo shule imekuwa ikikumbwa na majanga kulikoni? .......
 
Kuna habari nimeambiwa kuwa kuna ajali imetokea katika shule ya Emanuel&contholata ===EMMACO VISION PRE&PRIMARY SCHOOL. Iliyopo Geita mjini.

Hoi ajali ya Sabrina kupigwa na radi imetokea Leo miss si mrefu.

Mliopo Geita tujuzeni.

ASANTENI
 
Umeandika haraka mpaka hisomeki vizuri ila ni kweli ajali ya radi imetokea na imeathiri zaidi watoto wa darasa la pili na la tatu mpk sasa imeripotiwa watoto watano wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa Hospitali ya rufaa Geita.Tahatuki ni kubwa kwa wazazi tuwaombee watoto wetu wapone haraka na awatie nguvu wazazi
 
Raiser itabidi waweke option ya kuedit post maana kwa haya masimu yetu....unaandika hiki kinaandikwa like.

Anyway asante kwa taarifa.
 
mbona umekuwa usiku mzito kwa shule! Hata Bukoba nasikia shule ya sekondari Bukoba imeathiriwa na mvua ya usiku wa kuamukia leo
 
RIP watoto.....
Wapi wanauza "mitego ya radi" niweke stock ya kutosha maana fursa inakuja, utapitishwa msako wa shule binafsi zisizokuwa na hivyo vifaa kufungiwa
Acha masihala kwenye jambo serious kama hili.
 
Back
Top Bottom