JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumain Magesa amesema elimu duni ya wananchi kuhusu uendeshaji wa Serikali vijijini ni chanzo cha matatizo yanayowakabili
Akizungumza na wana-Kijiji cha Njoro katika mkutano wa hadhara leo alisema, baadhi ya viongozi wa vijiji wanekuwa waungu watu na kuendesha Serikali za vijiji watakavyo
Alisema sheria imeelekeza kufanya mkutano Mkuu wa Kijiji kila baada ya miezi mitatu badala yake inakuwa kinyume chake.
Wananchi wameamua kususia maendeleo yao baada ya kuchangia miradi yao bila kusomewa taarifa ya mapato na matumizi alisema.
Alisema ili kuondoa tatizo hilo katika mikutano yake ataendelea kuwa na Polisi na kuagiza kuwashikilia wenyeviti na watendaji wao kwa kutosoma mapato na matumizi.
Kijiji cha Njoro ni miongoni mwa vijiji vinavyobainika kutowasomea wananchi mapato na matumizi na kusababisha miradi ya maendeleo kukwama...